Usafiri wa anga wapata mkombozi? DAR to KIA(JRO) to DAR - TZS 88,000/=

Usafiri wa anga wapata mkombozi? DAR to KIA(JRO) to DAR - TZS 88,000/=

Me kingereza sijui embu niambieni kwenda had kia bei gan kutokea dar kwenda tu sio kwenda na kurud

32,000/= bila kodi ukiweka na kodi kwa kukadiria inaweza kuwa 11,000 inakuwa 43,000 na kama unamzigo usiozidi kilo 20 ukauweka sehemu maalumu unaulipia 8,000/= ndani hakuna huduma ya bure hata kama ni soda unalipia. Kama ni mzoefu wa huu usafiri hiyo ni bei ya kutangaza tu kuna uwezekano pia ukakuta ticket kwa bei hiyo zimejaa ukakuta bei ipo juu kidogo kama utakuwa umechelewa booking (ni kawaida kwa watu wamepanda ndege class moja but bei zikawa zimetofautiana)
 
Babaangu, nimeshindwa kabisa kuelewa ulichoandika hapa. Sijui nazeeka au vipi? Hebu andika vizuri usomeke maana naona umeweka vitu muhimu sana ila kama vile umechanganya?!?!?!?
Mbona hiyo ni kawaida tu? Siku ya launching ya ndege za Precsn na kwa mwezi mmoja mfululizo ticket + VAT from KIA to Hahaya ilikuwa ni USD 250 tu, pungufu ya dola 900 zaidi. Sasa kwanini hilo lishindikane? Mfano mzuri ni Ethiopia.
 
Tatizo je tuhame huku na mabubu zetu? Lazima watufikirie na sisi huku. Miewakati mwingine naogopa hata kusema. Kuna Mkoa pia wa Mbeya hadi leo hauna hata ndege inayokwenda kule! Sisi huku Lindi wametusahau kabisa ila wakati wa uchaguzi wanatupa ahadi tele! Walichotuletea ni VYANDARUA tu!

Kuna mkoa kama Mwanza kwa mfano, ni mkoa ambao kwa muda mrefu ulikuwa umetwngwa na mikoa ya mashariki kutokana na kutokuwa na barabara za lami zinazounganisha na mikoa mingine hivyo ndge ikawa ni njia mbadala kwa wale wenye uwezo mwisho wa siku kupanda ndege ikawa ni tabia hivyo hata baada ya barabara kujengwa bado watu wanapanda ndege na zinajaa na pia kuna ambao wanatumia mabasi na ndio maana kila kampuni inayokuja lazima ifanye safari Mwanza tena mara 2 kwa siku. Kwa Mbeya sijui tatizo ni nini labda kwa kuwa mfumo wa barabara umekuwepo kitambo kuliko Mwanza wananchi wakajikuta wanatumia zaidi barabara (Ila Mbeya kuna kampuni ya Auric air inafanya safari ya Dar - Mbeya kwa kutumia ndege ndogo ya watu wasiozidi 20.

Pigeni kelele mpaka kieleweke maana Chandarua kila sehemu wanapelekewa pia mkiletewa vitu kama hivi mpande sio tena kitu kinakuja wapandaji ni mkuu wa mkoa na mkurugenzi wa manispaa/mji
 
Duh mbona wengi wabishi humu, watu wameanza kata tiketi nyie kaeni mnabisha yaani hata kusubiri na kuombea ifanye kazi na kuendelea mnakuwa negative.

Ndio nyie mnaharibu maendeleo na fikira zenu zinawazuia kuwajibika kimaendeleo.

Sasa mwingine analeta na picha eti kasafiri sana na budget airline(s) so what? Uliemjibu imemsaidia nini?

Mmmhhhh

Tena na website ipo Africa's Low Cost Airline - Fastjet na wametaja na ofisi zao
 
Mkuu hii habari nimeipata pia hata TBC wameitangaza sana, Kwa kweli wapanue huduma na sehemu nyingine isiwe Arusha and mwanza only.Tutaachana kabisa kupanda mabasi kwa kuwa yanatumia muda mrefu wakati Fastjet just one Ho:majani7:ur!!! Kwa kweli hapa wachaga wa precision Air watakuja juu na kufanya mizengwe kuihujumu huduma hii kwa walalahoi.

Wengi walidhani usafiri huu ni wa matajiri tuu na wengi tungukufaa bila kupanda ndege but kwa sasa kila Mtz atapanda kwa 32,000/= na + Tax. Bei karibu na buree ni kama Daladala nauli ya Basi Dar-mwanza 45,000/=!!!!.
 
Kuna mkoa kama Mwanza kwa mfano, ni mkoa ambao kwa muda mrefu ulikuwa umetwngwa na mikoa ya mashariki kutokana na kutokuwa na barabara za lami zinazounganisha na mikoa mingine hivyo ndge ikawa ni njia mbadala kwa wale wenye uwezo mwisho wa siku kupanda ndege ikawa ni tabia hivyo hata baada ya barabara kujengwa bado watu wanapanda ndege na zinajaa na pia kuna ambao wanatumia mabasi na ndio maana kila kampuni inayokuja lazima ifanye safari Mwanza tena mara 2 kwa siku. Kwa Mbeya sijui tatizo ni nini labda kwa kuwa mfumo wa barabara umekuwepo kitambo kuliko Mwanza wananchi wakajikuta wanatumia zaidi barabara (Ila Mbeya kuna kampuni ya Auric air inafanya safari ya Dar - Mbeya kwa kutumia ndege ndogo ya watu wasiozidi 20.

Pigeni kelele mpaka kieleweke maana Chandarua kila sehemu wanapelekewa pia mkiletewa vitu kama hivi mpande sio tena kitu kinakuja wapandaji ni mkuu wa mkoa na mkurugenzi wa manispaa/mji

Nadhani wakituletea ndege tutapanda kwa vile tunatumia vyandarua vyao hata kama sio vizuri kihivyo!
 
Oooh Kikwete hafai, oohh sijui CCM wabaya.

Haya sasa, semeni.

Ndio mjuwe zile safari za Kikwete za nje zina manufaa makubwa sana.
 
ulivyokazania hivyo vyandarua hahahahahahahahahahahaahhaahah

Ni kweli nimekazania maana wameanza mafunzo tena kwa shule za sekondari ili watupe tena vyandarua sisi watu wa Lindi, Mtwara na Ruvuma. Kila experiment ya tiba inaanza huku. Wizara inaona sisi we are the most vulnerable kwenye magonjwa. Kupitia mpango huu, watagawa vyandarua kwenye mashule na hapo kila kaya itapata (the cost effective method other than mass campaigns).
 
Nauli ya Basi Dar - Mwanza shillingi ngapi?

Hata wasio na safari ya kwenda Mwanza na Kilimanjaro na hawajawahi kupanda ndege itabidi waende.

Hapa Krismasi zitazuka kazi kwa madereva, maana Wachagga sasa vile vigari vya mtumba mnavyokwenda kuringishiana kwenu wakati wa Krismasi itabidi muajiri madereva wavipeleke, mvikute vinawasubiri eyapoti.
 
Precision watatia akili sasa na style yao ya kufaulisha.
 
Oooh Kikwete hafai, oohh sijui CCM wabaya.

Haya sasa, semeni.

Ndio mjuwe zile safari za Kikwete za nje zina manufaa makubwa sana.

Hivi safari zake zile ATCL wangekuwa wamenunua ndege ngapi ambazo zingetoa huduma sehemu kubwa ya Tanzania?!
 
Oooh Kikwete hafai, oohh sijui CCM wabaya.

Haya sasa, semeni.

Ndio mjuwe zile safari za Kikwete za nje zina manufaa makubwa sana.

....Jamani kuna kahali wameandika Kikwete ndo atalipia abiria wote nauli au la....???? Mi sijaelewa Kikwete anahusishwaje hapa, aarghh!!
 
Kaka tuache ubishi piga simu ofisi za 540 utaambiwa nauli ndio hiyo 88 TAX inclusive.

Babaangu, nimeshindwa kabisa kuelewa ulichoandika hapa. Sijui nazeeka au vipi? Hebu andika vizuri usomeke maana naona umeweka vitu muhimu sana ila kama vile umechanganya?!?!?!?
[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TH="bgcolor: #69c, colspan: 4"]Prince Said Ibrahim International Airport
Moroni Hahaya International Airport
Aéroport international Prince Said Ibrahim[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 4"]IATA: HAH – ICAO: FMCH
10px-Airplane_silhouette.svg.png
HAH​

Location of airport in Comoros[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #69c, colspan: 4"]Summary[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2"]Airport type[/TH]
[TD="class: category, colspan: 2"]Public[/TD]
[/TR]
[TR="class: note"]
[TH="colspan: 2"]Operator[/TH]
[TD="colspan: 2"]Federal Republic of the Comoros[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2"]Serves[/TH]
[TD="colspan: 2"]Moroni[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2"]Location[/TH]
[TD="colspan: 2"]Hahaya, near Moroni, Comoros[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2"]Elevation AMSL[/TH]
[TD="colspan: 2"]93 ft / 28 m[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2"]Coordinates[/TH]
[TD="colspan: 2"]
17px-WMA_button2b.png
11°32′12″S 43°16′17″E / 11.53667°S 43.27139°E / -11.53667; 43.27139Coordinates:
17px-WMA_button2b.png
Click the blue globe to open an interactive map.

11°32′12″S 43°16′17″E / 11.53667°S 43.27139°E / -11.53667; 43.27139[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #69c, colspan: 4"]Runways[/TH]
[/TR]
[TR="bgcolor: #ddd"]
[TH]Direction[/TH]
[TH="colspan: 2"]Length[/TH]
[TH]Surface[/TH]
[/TR]
[TR="bgcolor: #ddd"]
[TH]ft[/TH]
[TH]m[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]02/20[/TD]
[TD]9,514[/TD]
[TD]2,900[/TD]
[TD]Asphalt[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #eee, colspan: 4, align: left"]Named for Prince Said Ibrahim of Grand Comore[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Prince Said Ibrahim International Airport (IATA: HAH, ICAO: FMCH) (in French: Aéroport international Prince Said Ibrahim) is an international airport located in Moroni, Comoros.
[TABLE="class: wikitable sortable jquery-tablesorter"]
[TR="bgcolor: lightgrey"]
[TH="class: headerSort"]Airlines[/TH]
[TH="class: unsortable"]Destinations[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Precision Air[/TD]
[TD]
Sunday, August 21, 2011 FATHER KIDEVU No comments

Abiria wa kwanza kusafiri na Precision Air kutoka Komoro walionekana kufurahia huduma hiyo ya ndege. Jumla ya abiria walikuwa 110, ndege iliyofanya safari hiyo ni aina ya Boeing 737-300 yenye uwezo wa kubeba abiria 116.

Ndege aina ya Boeing 737-300 ilivyotua kwa mara ya kwanza uwanja wa ndege wa kimataifa wa Prince Ibrahim.

Mkurugenzi Mkuu na Meneja Mwendeshaji wa Precision Air Bw. Alfonse (kulia) akikaribishwa na mwenyeji wake Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi nchini Komoro Bw. Abdulahi Mwinyi mara baada ya kuwasili na safari ya kwanza ya shirka ya ndege hiyo kutokea uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere-Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mkuu na Meneja Mwendeshaji wa Precision Air Bw. Alfonse Kioko akiteta na Mwenyekiti wa Galaxy General Sales Agents, Bw. Nassor Ali. Kampuni ya Galaxy ni wakala rasmi wa Precision Air nchini Comoro.

. Mkurugenzi Mkuu na Meneja Mwendeshaji wa Precision Air Bw. Alfonse Kioko akisindikizwa kwenda kupanda ndege na wenyeji wake baada ya uzinduzi mfupi uliofanyika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Prince Ibrahim, Hahaya-Komoro.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Oooh Kikwete hafai, oohh sijui CCM wabaya.

Haya sasa, semeni.

Ndio mjuwe zile safari za Kikwete za nje zina manufaa makubwa sana.
Precision Wame-resume safari kupitia kampuni ya Galaxy kule Comores na si JK....Yeye JK anamfahamu rais wa Comores tu na si vingine wala kibiashara.
 
Tunataka kutumia TWIGA wewe na si hizi ndege zenye namba kubwa kubwa kama wakimbia riadha kifuani.

Tunataka Air Tanzania, Tanzania Railways Corporations, nk na zikiwa chini ya Watanzania wazawa.

Hii haihitaji uende safari yoyote zaidi ya kutumia kichwa kwa matumizi mengine mengi zaidi ya kufugia nywele.
Oooh Kikwete hafai, oohh sijui CCM wabaya.

Haya sasa, semeni.

Ndio mjuwe zile safari za Kikwete za nje zina manufaa makubwa sana.
 
Mkuu Zomba nani anaweza kununua gari jipya kama sio serikali pekee
wachaga na mitumba yao lakini bado wako juu kimaendeleo
na wao wanaringishana kwa maendeleo tofauti na wengine ukijenga wanakupeleka gamboshi fasta
nani tena apande youtong za garama wakati ndege ipo ya garama nafuu?

Back
Top Bottom