matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Tutaenda kwa mengineHawaendi mbinguni.
Watendeeni mema wanaowaudhiSiwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...
Nilisimama na mtoto mchanga
Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande
Nampisha mzee tuu!!!
Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba
Acha hizo nizikose...!!!mmekubali kabisaa!!niliumia siku ile mpk mdada wa NHIF alinionea huruma pale headquarters maana mpk naingia ofisini hoiiii!!!Watendeeni mema wanaowaudhi
Msilipe baya kwa baya
Unajikisesha baraka mkuu
alafu ukiwakuta makanisani wanaongoza kwa kumlilia Mungu kwa machozi na mayowe, wengine misikitini wanaadabu mnoo.Haya mwanamke akiwa na gari kumpa lift mwanamke mwenzie ni mtihani sana
Pole mkuu mtoto wetu anaendeleajeSiwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...
Nilisimama na mtoto mchanga
Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande
Nampisha mzee tuu!!!
Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba
Kama mbwai na iwe mbwai kuna wengine wanazidi wingine yupo kituoni gari zipo kibao badala apande nyingine asubili kupishwa afanye tu mazoezi, mwingine unampisha hata kusema asante anakaa na kuchukua smartphone yake uliyempisha unaanza kuvuja jasho la kwapa [emoji25] [emoji25] [emoji25] mwenzio anachartSiwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...
Nilisimama na mtoto mchanga
Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande
Nampisha mzee tuu!!!
Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba
Na wale wanaume wanaogombea gari na kuwapiga viwiko wanawake wenyewe ndiyo wanaroho nzuri?Kweli kabisa wanawake nafikiri ndio viumbe vinavyoongoza kwa roho mbaya. Ni mara nyingi tu wanaume tunawaachia wanawake siti. Lakini wanawake wenzake wamekaa tuu
Pole sanaSiwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...
Nilisimama na mtoto mchanga
Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande
Nampisha mzee tuu!!!
Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba
Huendi mbinguniSiwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...
Nilisimama na mtoto mchanga
Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande
Nampisha mzee tuu!!!
Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba
SawaaHuendi mbinguni