Usafiri wa daladala ni kipimo cha kiwango cha roho mbaya cha wakinamama na wadada

Duh .... nimehoji na kutoa taarifa ya kitafiti mnakwama wapi?
Huo sio utafiti ni hisia zako tu, kama unashindwa kuelewa kero ya usafiri jiji hili, mfano daladala zinazoenda Gongo la Mboto, ukisimama njiani Hadi unafika Gongo la Mboto umesimama Kama masaa mawili, so usilaumu watu bure au ulishapanda daladala zinazoenda Ukonga Mombasa ujue shida ya kusimama na kupisha watu kizembe eti kisa huruma
 
Hawana huruma kwa wamama. Ni jukumu la mwanaume kuhakikisha dada/mama/mtoto/mzee/mlemavu akae kwenye seat.
Binafsi simpishi mtu yoyote seat labda awe mzazi wangu. Kila mtu apambane kivyake
Mimi wa kuwapisha sijaona maana wazazi kupanda daladala ni nadra Sana, kwahiyo kila mtu apambane na Hali yake
 
Nadhani sample study yako ni kakipande kadogo tu ka nchi hii DAR peke yake. Unasahau mikoa yote wanatumia daladala.
 
Kwa respond hii chache tu nashawishika kuamini wanawake hawapendani na cahira ni mmoja wao
Hizo hisia zako tu na jinsi unavyopima upendo kwa mambo ya kijinga. Yani kupisha mtu seat ndio upendo, halafu kutokupendana kwetu wanawake kwanini wanaume huwa mnavalia njuga kuliko sisi wanawake?
Kupisha seat strange people ni kutokujielewa
 
Nadhani sample study yako ni kakipande kadogo tu ka nchi hii DAR peke yake. Unasahau mikoa yote wanatumia daladala.
Nimetolea mfano wa Dar ndio kwenye population kubwa na foleni mkoani hamnaga foleni la kutisha na kwenda sehemu nyingine usafiri mzuri tu wa Noa na watu wanakaa level seats kwa amani
 
Hawana huruma kwa wamama. Ni jukumu la mwanaume kuhakikisha dada/mama/mtoto/mzee/mlemavu akae kwenye seat.
Binafsi simpishi mtu yoyote seat labda awe mzazi wangu. Kila mtu apambane kivyake
Huo ni udhaifu mzazi wako anatakiwa kuwa treated with others the same as you do to him or her. Verse verser
 
Nimependa zaidi hapo kwenye umaliziaji "mimba yako ni starehe yako".
Nakumbuka niliwahi kumwambia mtu flani kwamba "watoto wangu ni matokeo ya starehe zangu".
Huyo ndugu alinishangaa sana, then na mimi nikabaki namshangaa kwamba kwanini ananishangaa..
 
Nimetolea mfano wa Dar ndio kwenye population kubwa na foleni mkoani hamnaga foleni la kutisha na kwenda sehemu nyingine usafiri mzuri tu wa Noa na watu wanakaa level seats kwa amani
Hujafanya utafiti.. angali Morogoro Town to Kihonda, Mwanza Town to Igoma Kishili au Town to Buswelu. Dodoma Sabasaba to Swaswa, Arusha town to Unga limited and Sanawari, Mbeya Mwanjelwa - Uhindini na nk. Kote Kuna kausumbufu ka aina hiyo na wanaopisha seat ni wanaume
 
Early comments zinathibitisha kuwa hawako tayari kupisha. Wamekua wakweli na ukweli humuweka huru.
 
Kuna nchi niliishi mwanamke haruhusiwi kusimama wakati wanaume wamekaa na wala huwezi kukutana wanaume wanagombania usafiri na wanawake ni lazima wanawake wapishwe kwanza so hiyo ni kazi ya uanaume kuwa ngangari kusimama ili kulinda mama dada na mabinti zenu. Fundisha hivyo watoto wako wa kiume wanawake hawatakiwi kuteseka wakati wanaume wapo.
 
Binafsi nampisha mgonjwa tu. Mimi Mara nyingi nageuza na gari lengo n kukaa na kuwahi. Mtu hataki kugeuka na gari simpishi.
Au mwanzo wa bus mtu hataki kusubiria bus lingine lenye nafasi, simpishi
 
50/50 leo mmeitupa kapuni?@cariha
 
Binafsi me nina sheria yangu binafsi hata navotembea na mwanamke yoyote barabarani awe ndugu hata rafiki .
Mimi huwa natakiwa kuwa upande karibu na magari yeye kushoto kwangu kwamba hata kama hatari inatokea yeye anakuwa kushoto kwangu. Lengo ni kuondoa hatari maana wanawake huwa wanapaniki sana ikitokea hatari. Na ukicheki utitiri wa bodaboda hizi.

Nkubaliana na mchangiaji mmoja kuwa wanaume tuhakikishe usalama wa wanajamii wowote. Ila issue ya kuachiana seat hekima inatakiwa itumie regardless of jinsia.
 
Mimi sishangai kutompisha mtu..hilo sio jukumu wala wajibu.

kinachonikera kwa wanawake ni wabinafsi sana kwenye gari...Yaani mfano mtu ameshuka aliyekuwa kwenye siti na kuna mwanaume karibu lakini atatokea mwanamke kwa nguvu kutaka kukaa kama vile ni haki yake.

Wanawake ni very greedy...Yaani anaweza akawa amesimama nyuma kabisa wewe umesimama mbele akatokea mtu anashuka huko mbele..yeye akatokea nyuma anataka akupiku akae hapo mbele tena kwa fujo kama ni HAKI yake.

Na wamaume mara nyingi huwa wanawaachia tu sio wapiganaji maana siti haziliwi lakini hii inakera

Wanawake wanajiona kama wao ndo wanastahili kukaa kuliko wanaume....
inatakiwa iwe 50/50 bana siti haziliwi
 
Ni sio mtu was 50/50 nachojua sitakiwi nite Sekei kusimama wakti wanaume wapo.
Wanaume nao wakisema hawawezi kuteseka wakati mama zao wapo, ubavu wao upo maana hata kimaandiko mwanaume anamtawala mwanamke itakuwaje?

Dada wewe hauna haki ya kukaa kumzidi mwanaume na vice versa is true
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…