Kama una heshima mbona pm yako imefungwa[emoji5][emoji5]Mimi nimezaliwa kwenye familia ya heshima,siwezi kumuona mkubwa wangu amesimama mamá mjamzito au mgonjwa kwenye daladala alafu nisimpishe huwa naona aibu,
Na siku zote nawaza ninakoelekea wala siwazi kukaa kwenye siti mara nianze kukimbizana na watu kwny daladala kisa seat hapana ,nikipata nakaa nikikosa nasimama,na kumpishe mkubwa wangu hiyo ni tabia yangu.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hatujakwama popote, mtu akiona gari imejaa asipande na Kama aniamua kupanda akubaliane na hali atakayoikutaDuh .... nimehoji na kutoa taarifa ya kitafiti mnakwama wapi?
Asante sana. Wanaume wanataka waonewe huruma kwa kila kitu..wao wana nguvu kuliko wanawake so ni jukumu lao kuhakikisha wamama wamepata seat.Kuna nchi niliishi mwanamke haruhusiwi kusimama wakti wanaume wamekaa na wala huwezi kukutana wanaume wanagombania usafiri na wanawake ni lazima wanawake wapishwe kwanza so hiyo ni kazi ya uanaume kuwa ngangari kusimama ili kulinda mama dada na mabinti zenu. Fundisha hivyo watoto wako wa kiume wanawake hawatakiwi kuteseka wakti wanaume wapo.
Tusiwalaumu sana wanaume ni tumewalea vibayaAsante sana. Wanaume wanataka waonewe huruma kwa kila kitu..wao wana nguvu kuliko wanawake so ni jukumu lao kuhakikisha wamama wamepata seat.
Na wao waache kulalamika vitu vidogo vidogoTusiwalaumu sana wanaume ni tumewalea vibaya
Mmewaleaje vibaya?Tusiwalaumu sana wanaume ni tumewalea vibaya
Kuna nchi niliishi mwanamke haruhusiwi kusimama wakti wanaume wamekaa na wala huwezi kukutana wanaume wanagombania usafiri na wanawake ni lazima wanawake wapishwe kwanza so hiyo ni kazi ya uanaume kuwa ngangari kusimama ili kulinda mama dada na mabinti zenu. Fundisha hivyo watoto wako wa kiume wanawake hawatakiwi kuteseka wakti wanaume wapo.
mtu ameshuka aliyekuwa kwenye siti na kuna mwanaume karibu lakini atatokea mwanamke kwa nguvu kutaka kukaa kama vile ni haki yake.
Wanawake ni very greedy...Yaani anaweza akawa amesimama nyuma kabisa wewe umesimama mbele akatokea mtu anashuka huko mbele..yeye akatokea nyuma anataka akupiku akae hapo mbele tena kwa fujo kama ni HAKI yake.
Na wamaume mara nyingi huwa wanawaachia tu sio wapiganaji maana siti haziliwi lakini hii inakera
i
Mi mwanaume,acha kupenda picha.Kama una heshima mbona pm yako imefungwa[emoji5][emoji5]
Hii ilishawahi nikita[emoji1751]Kama mbwai na iwe mbwai kuna wengine wanazidi wingine yupo kituoni gari zipo kibao badala apande nyingine asubili kupishwa afanye tu mazoezi, mwingine unampisha hata kusema asante anakaa na kuchukua smartphone yake uliyempisha unaanza kuvuja jasho la kwapa [emoji25] [emoji25] [emoji25] mwenzio anachart
da aya bana
Apende nini hapa jf.
Nyie mnatuchanganya na mapicha zenu hizo...hapa nilijipanga kurusha ndoano..hahaha nashangaa wewe ni mwanaume ..heee.
Basi wanaume wa Dar ni wanawake,Mimi sishangai kutompisha mtu..hilo sio jukumu wala wajibu.
kinachonikera kwa wanawake ni wabinafsi sana kwenye gari...Yaani mfano mtu ameshuka aliyekuwa kwenye siti na kuna mwanaume karibu lakini atatokea mwanamke kwa nguvu kutaka kukaa kama vile ni haki yake.
Wanawake ni very greedy...Yaani anaweza akawa amesimama nyuma kabisa wewe umesimama mbele akatokea mtu anashuka huko mbele..yeye akatokea nyuma anataka akupiku akae hapo mbele tena kwa fujo kama ni HAKI yake.
Na wamaume mara nyingi huwa wanawaachia tu sio wapiganaji maana siti haziliwi lakini hii inakera
Wanawake wanajiona kama wao ndo wanastahili kukaa kuliko wanaume....
inatakiwa iwe 50/50 bana siti haziliwi
[emoji23][emoji23][emoji23] so interestingNimependa zaidi hapo kwenye umaliziaji "mimba yako ni starehe yako".
Nakumbuka niliwahi kumwambia mtu flani kwamba "watoto wangu ni matokeo ya starehe zangu".
Huyo ndugu alinishangaa sana, then na mimi nikabaki namshangaa kwamba kwanini ananishangaa..
Inafurahisha Sana nyie wanawake wa kileo mnataka kuendelea ku-enjoy "weaker gender privilege " wakati huo huo na nyie mnajiona mko strong sawa na wanaume.
Why want to eat your cake and have it at the same time?
Hiki unachokisema hapo kwenye red kilikuwa ni kitu sahihi kufanywa miaka 90s kurudi nyuma huko, lakini sio Leo kwa nyie wanawake mnaominishwa kwamba eti tofauti yako wewe na mwanaume ni jinsia tu vingine vyote mko sawa, yaani chochote anachoweza kufanya mwanaume hata wewe unaweza kukifanya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie wanawake wa kileo Kwanza hampendi kabisa kuonekana kuwa nyie ni binadamu wa jinsia dhaifu, hili kudhibitisha hili wengi wenu hamna haiba ya kike na pia mmekuwa mkijitutumua kufanya mambo ambayo traditionally ni ya kiume na yale ambayo ni ya kike mmekuwa mkiyapuuza na mkiona kama ya aina fulani ya ujima.
Wengi wenu siku hizi mnasema mnaweza kuishi comfortably kabisa bila kumuhusisha mwanaume kwa chochote kile, kwani mko strong and independent.
Na pia mmeenda mbali na kusema kwamba wanaume wa siku hizi tumekuwa dhaifu Sana hatuwezi kuwaongoza na umuhimu wetu umebaki kwenye uzaliano tu.
Sasa Kama tayari nyie mnajiona mko sawa na sisi au pengine ni zaidi ya hata ya sisi, kwanini bado mnatupa umuhimu kwenye suala la kuwalinda?
You people have already snatched away our strong gender privilege why should we let you to enjoy your weaker gender privilege ???