Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho


kweli ni mtu wa tanga mshkaji wa maning sema anapiga pesa msumbiji
kuhusu mabegi maning jamani wanaongoza kutoza
bora buti la zungu na machinga hawatozi mizigo sana km maning na niliacha kupanda maning kwa sababu hiyo ya kulipisha mizigo
 

nilivyofika mtwara mara ya kwanza mwenyeji wangu akaniambia ngoja nikakuonyeshe coco beach!!! dah kumbe ni stand ya bodaboda!!! nilipapenda sana Msemo Beach na Makonde kabla hawajajenga ile club
 
Laana unayoitafuta mtaipata tu... Kwa maneno hayo uliyotumia nakuhakikishia huu mwaka hautaisha bila kutokea ajali mbaya kwenye hiyo barabara, god forbid

Utajisikiaje ikitokea hivyo? Sio mambo ya kuombea. Wachagga, Wamakonde, Wapare, Wagogo, Wasukuma, Waingereza, Waamerika, Wakenya, nk wote ni binadamu na wanatumia hii njia ya MTW-DSM hivyo daima tunapaswa kuombeana heri pia kushauriana/kukosoana katika kuepusha shari na majanga yanayoepukika. Ajali ikitokea barabara ya Mtwara-DSM au DSM-Moshi/Mwanza/ Mbeya, nk wataathirika Wachagga, Wamakonde, Wazungu. Hivyo, ndugu yetu Nkya daima uwe unatoa kauli zenye kuomba heri na usalama kwa watu wote bila kujali ni wa wapi.
 
Ok thanks kwa ufafanuzi mkuu....Huku inasikika sana the guy is from Musmbiji, bora umenijuza, adress ya pale mlangoni kweli ni ya dar ila sijakuwa makini kuangalia jina..I will next time
 
Dah umenikumbusha kunazi na embe Enzi hizo shangani porini wanakaa wakishua tu watoto wa Indian quarters tulikuwa tunaendaga kuokota kunazi kule fini club maeneo ya Mtepwezi .. hao mbwa sasa haha
We dada nahisi nakufahamu sana, kama ukienda FINI kuokota kunazi...basi tulikuwa mkumbo mmoja, manake tukitoka tu ligula primary school tunaenda shangani kuokota kunazi, wale watoto wa kishua nikiwaonea gele sana manake mikunazi ipo mbele yao tu, tulikuwa tunavuka msitu wa ufundi pale!! Siku hizi kuna college ya utumishi maeneo yale!! Nikipita baharini kule nakuta wamama wanaokota viokolo na kumbwa!! Hahahaaa lazima tutie timu tukawasaidie
 
Hivyo vyote amefanya kwa hela/pesa yake ya mfukoni hebu tupishe na wewe huko!

Ni kupanga na kuchaguwa matumizi ya fedha za Tanzania alizokabidhiwa kuzisimamia, ndiyo maana ya kuwa kiongozi.

Wa kabla yake walifanya nini?

Wewe ulizaliwa na pesa yako. Wacha kiherehere.
 

Afu unajua mie nimesoma Ligula primary?
Wapi mwl Mayele, Chimpepo, Haule, Mandanda,Nachi alikuwa na mkono uliolemaa....mdogomdogo, nitakujua tu
 

Ha ha ha ha! Viokolo na Kumbwa na Chikandanga na Ming'oko only in Mtwara and Lindi regions. Dar es Salaam Wazaramo na Wandengeleko Ming'oko wanaiita MIBAO, wakati Vitolo na Makung'u( only in Mtwara) huku Dar wanaita Mabungo na tukapata jina UBUNGO!
 


hahahaa hatari sana
 
Ok thanks kwa ufafanuzi mkuu....Huku inasikika sana the guy is from Musmbiji, bora umenijuza, adress ya pale mlangoni kweli ni ya dar ila sijakuwa makini kuangalia jina..I will next time

Ok kaka! Ni Msambaa wa Lushoto-Tanga huko, kwenye safu za Milima ya Usambaa!

Hivi pale verani bado pako vilevile? Pamoja na kina kirefu tulikuwa tunaoga pale. Nilikuja Mtwara mwaka huu mwezi April, nilikuta Zambia road iko paved kwa lami, pale Magomeni mnadani( sijui siku hizi wako wapi) niliambiwa itawekwa lami hadi VETA huko sasa sijui ilishawekwa? Sizinga utuarifu kama lami tayari Magomen-Veta, Tandika Road, MATC( Inaitwa COTC) lami tayari!?
 

Jamani bah! Ntwara raha, usisahau km 60 za somanga yaani hapo ungemalizia kwa kuwapa eko tu jamaa wa magogoni na chama chao. Dangote kamaliza kabisa na uwekezaji wake wa kiwanda cha saruji.
 
Hivi kampuni ya Ng' itu imekufa kabisa? Mbona kimya? Hata zile coaster za Mtwara- Masasi hakuna, au bado zipo? Mulioko Mtwara mutujuze!

Kampuni ya Sollo imekufa kabisa? Mbona kimyaaa?

Vipi Al hamduli llah nae kimya hana basi kabisa? Mutujuze!
 


hahahhaa ndo ww pauline john? hahahahaa
 


hahahaaa dogo ucpanik alikua anatuweka sawa tu
 
Hivi kampuni ya Ng' itu imekufa kabisa? Mbona kimya? Hata zile coaster za Mtwara- Masasi hakuna, au bado zipo? Mulioko Mtwara mutujuze!

Kampuni ya Sollo imekufa kabisa? Mbona kimyaaa?

Vipi Al hamduli llah nae kimya hana basi kabisa? Mutujuze!

ng'itu alivyokufa yule mbunge tu baas kila kitu kikaisha na akaja kufa na shangwe ndo baas
 
Mtwara raha nae kashindwa hata kununua Yutong moja?

mtwara raha gari yake ilikua pale NBC walikua wanapiga mnada 45mills sijui ishanunuliwa
maana mkopo ulimshinda sijui benki gani watampa tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…