Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Hilo ni tatizo kubwa sana. Hapo ustaarab bado. Mimi jambo hilo hunishangaza sana. Eti begi ulipie, ni aibu kubwa kwa zama hizi. Majuzi nilikuwa Njombe nimerud na Box la viaz bure kabisa kampuni moja ya mabasi ya Galaxy, iko poa!
Wasfirishaji wa Mtwara to Dar wanalo la kujifunza hapa. Maning Nice mwenyewe mabasi yake mengine yanaenda kwao kule Lushoto lakini ulimbukeni wa kukomalia vibegi hawana, why kwa yale yaendayo kusini tu?! Kwa zama hizi wajirekebishe bhana!
kweli ni mtu wa tanga mshkaji wa maning sema anapiga pesa msumbiji
kuhusu mabegi maning jamani wanaongoza kutoza
bora buti la zungu na machinga hawatozi mizigo sana km maning na niliacha kupanda maning kwa sababu hiyo ya kulipisha mizigo