hii ndo ligula primary school...vichwa vingi vya mtwara ndo chimbuko lake, tumepigishwa sana kwata hapa na akina mayele(rip) na akina nachiputa...hahahaaaa..usimsahau mwl munga..akina dodi, manento...mwl masali alikuwa na style yake ya kung'ata pua ni "rings"...hahaaa majambazi yote akina razaro, anord waliisoma namba
unaiona "ngunja" hii hapa chini...hahaaa ni shida kwakweli. Hapo huezi kupata tuzo ya usafi mweee
MyDume(RIP)...alifia kwa mama ake maeneo ya Mangoela.(Nasikia aliondoka kwa ngoma)..!!Hivi yule dada My Dume bado yupo? Anasifa kama dada mmoja wa EATV yeye best zake ni washikaji tu, na masela wa town tu yaani sheeeedah!
Full mkeka bandugu...u r most welcome bro!!boss nikija tena mtwara nitakutafuta.....nilikuja mara ya mwisho mwezi wa sita maisha club ilikuwa imefungwa ile njia yote ilikuwa imemwagwa vifusi..washaweka lami??
Barabara ya pale sokoni kupitia Nabwada hadi Bandarini full LAMI...inaitwa KUNAMBI ROAD...soko kubwa lote limezungukwa na lami
Ng'itu tangu yule mzee(Mbunge) afariki naona wadogo za wameshindwa kabisa kuiendeleza ile kampuni, Wenzake wananunua Yutong ye bado anaendelea na Mikweche yake, biashara imemshinda,coz nobody akipanda gari zake labda uwe umechelewa na huna option nyingine...
Baadae nikasikia biashara zake ni za NGENDE so imekufa kifo cha mende
Full mkeka bandugu...u r most welcome bro!!
Hapa ndo kivuko kinaweka nanga yake..M.V MAFANIKIO
Hii ndo LIGULA PRIMARY SCHOOL...vichwa vingi vya Mtwara ndo chimbuko lake, tumepigishwa sana KWATA hapa na akina MAYELE(RIP) na akina Nachiputa...hahahaaaa..usimsahau Mwl Munga..akina DODI, Manento...Mwl Masali alikuwa na style yake ya kung'ata pua ni "RINGS"...hahaaa majambazi yote akina RAZARO, ANORD waliisoma namba
Unaiona "ngunja" hii hapa chini...hahaaa ni shida kwakweli. Hapo huezi kupata tuzo ya usafi mweee
Kunaz ni tunda la Uarabuni na pwani kwa ujumla. Pale Dodoma ilipandwa makusudi na Waarab ila wenyeji hawajui.Mikunaz imetajwa vema kwenye Quran tukufu kama moja ya chakula chenye ladha. Pamoja na umri wangu nilio nao kwa sasa, mkoa wowote na mji wowote nikikuta mkunaz umedondosha tunda zake nitaokota tu.
Aise jana nilipita pale Mbagala, nikakuta ming' oko inauzwa live. Pia nikakuta akinamama wanauza magos( ngozi za ng'ombe zilizochemshwa sawa tu na kongoro) nikakumbuka mbali sana mambo ya Kilabu cha Tandika, Kwa Nondo na pale Skoya- Lang'ata enzi hizo!
Hahaha hata shangani ya Majumba saba kule kulikuwa na mbwa sana na kule shangani pale mifugo kwa marehemu Komba palikuwa na kunazi nyingi ila wamezungusha fence haha
MyDume(RIP)...alifia kwa mama ake maeneo ya Mangoela.(Nasikia aliondoka kwa ngoma)..!!
Tumewapiga sana makonzi watoto wa Shangani
Afu unajua mie nimesoma Ligula primary?
Wapi mwl Mayele, Chimpepo, Haule, Mandanda,Nachi alikuwa na mkono uliolemaa....mdogomdogo, nitakujua tu
Huo ni ukweli aisee na walikuwa wanaongozaga kwa scandal mji mzima unamjua fulani kafanya nn na hv mji ulikuwaga mdogoo.
Me nilikuwa Indian Quarters palepale kwenye zile kota za Vigae. Kipindi cha embe tunakoma watoto wenyewe kwa wenyewe tunarusha mawe mpaka tunavunja vigae. Nilikuwa Maeneo ya kwa Mtingita au kwa Msaki kama unawakumbuka maana walikuwaga maarufu enzi hizo ule upande wetu.
Hahaa umenikumbusha Lang'ata palikuwa maarufu bila kusahau DDC kule maeneo ya line polisi club maarufu ya pombe za kienyeji. Aisee hata mm mpaka kesho kunazi na kula hasa zile ukute zimeivaa sana tunaita kilenge kama embe zilizoiva sana haha. Nakumbuka Midabwa,pooza na vilenge dah.
Hahaha Mwalimu Masali mbana pua.. Mwalimu Dodi, Manento,Ngonyani,Lingwanda,Mduma ila wengi wamehama kabaki Mwl. Fundi na Mkongwe mwenyewe Mwangata hadi leo bado mwalimu Mkuu.
Hahaaaa, haya tuanze sasa...hii ni Magoemeni pale juction-VETA, inapitia Mangoela, Chuno, Ocean to Veta
CHAZA, Madame B, geniveros, qn of sheba, chingas, Chinga One, VOICE OF MTWARA, mmhE, hmtk, Mrembo by Nature, Asante, FaizaFoxy
Update'
hahaa umenikumbusha lang'ata palikuwa maarufu bila kusahau ddc kule maeneo ya line polisi club maarufu ya pombe za kienyeji. Aisee hata mm mpaka kesho kunazi na kula hasa zile ukute zimeivaa sana tunaita kilenge kama embe zilizoiva sana haha. Nakumbuka midabwa,pooza na vilenge dah.
Madam B una jua na mimi nimepita ligula primary skuli,mwalimu masari alikua ana ng'ata pua yule mzee halafu mwalimu jotta alikua ana matusi ya nguoni yule mama,enzi zile mwalimu mkuu mama mwangata kila mwaka ana mimba daah.george mmangaribi ndio alikua mtaalamu wa kucheza ngoma ya mganda.huu uzi raha tupu una nikumbusha mbali sana.