Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

Mwaka 2007 nilienda Masasi...sehemu kubwa ya barabara ilikuwa inajengwa...yani tulitoka Dar asubuhi tukafika Masasi saa Mbili usiku...nilipanda Akida trans, siti mbovu...nilifika makalio yote hayafanyi kazi...
Ila siku hizi kitu Najma...saa nane mchana nivee kukayaaa ninkutauna ming'oko.....!

Ulipanda bus bovu 2007 mbona tulikuwa tunafika saa kumi au tisa
 
  • Thanks
Reactions: awp
Nakumbuka enzi hizo Mlima Mmongo Lindi, gari ikishindwa kupandisha pale, lazima mlale mtake msitake.....sema kilichokuwa kinasaidia ni kuwa pale pembeni kuna kama kibwawa cha maji, basi tunajiloweka, tunasahau shida.

Ila sasa hivi ukipita hapo Mmongo na ukiambiwa kulikuwa na mlima utakataa.....kuko flattttttt, mambo ya Nkapa hayo.
Now Dar-Mtwara 7 hours wakati enzi hizo bila ya kulala siku 3 au 4 njiani basi hamjafika.
Mie nikishaiona Mikindani tu, moyo kunemenya kufurahi na ming'oko bila kusahau Chikandanga

Umenikumbusha mbali Baba alipoamishiwa Masasi mweeh siku tunamfata nilitamani kulia nilipanda wahida tulisafiri siku tatu kulikuwa na mvua
Nafika nangurukuru nataka kujisaidia nimelipa naoneshwa chini sikula kitu zaidi ya keki.
Sasa hivi mambo mswano
 
Ulipanda bus bovu 2007 mbona tulikuwa tunafika saa kumi au tisa

Inawezekana...manake wakati wa kurudi nilirudi na Wahida trans na nikafika huku saa kumi na moja...ila ubovu wa barabara pia ulichangia.....karibia safari nzima tulikuwa tunapita kwenye zile reserve...barabara ilikuwa inatengenezwa...nilifika na vumbi hadi kwenye kope...
 
Yote tisa, kumi Mr.Mkapa alipotuletea MV. SANTORINI
hahahaha, mpaka ikaitwa meli ya wanafunzi.
Maana yake likizo ikifika wanafunzi wooooote wa kusini haoooo melini, sema tu wale mabaharia wao walikuwa malaya sana, wanafunzi wametolewa sana bikira kule chini na hawa mabaharia wa Kigiriki.
Wanawavizia mkishuka ngazi, mnakuta wamejipanga huku wanakunywa bia, na walivyo wazuri basi wanafunzi wakiitwa tu, hao wanawafuata.
Wanaingizwa vyumbani mwao, wanakandamiziwa ukuni.
Aiseeee...tumetoka mbali saaaaaana.

Ila MV. SAFARI, sina hamu nayo!!!, umepanda meli kama umepanda mtumbwi unaoelekea MsangaMkuu!!

Hahahaha madame B umesoma mtwara girls au masasi girls
 
2007 barabara ilikuwa nzuri mbona labda somanga maana miaka hiyo nilikuwa nasoma Moshi na sikuwahi kufika usiku ni jioni. Miaka hiyo bus zilikuwa wahida, najma ni wakali wa rough road wakaja. Maana wahida inatoka tunduru inafika dar saa kumi na moja
 
Ni kwa mara kwanza kusafiri na basi ambalo ni luxury kutokea Dar kwenda mkoa ule ambao miaka ya nyuma inasemekana ni mkoa uliosahaulika na ni sehemu ya adhabu kwa wafanyakazi wa serikali hii ya bongo.

Kichonikosha roho ni kuona basi hili likitoa huduma ambayo tulizoea kuziona kwenye njia za mikoa ile ya ukanda wa kaskazini, mwanzo kabisa wa safari wahudumu hujitambulisha kwa abiria wao, then kuwahabarisha utaratibu wa safari abiria wote kuhusu kufunga mkanda kwa usalama wetu, kutoa mifuko ya kuweka uchafu,utaratibu wa kuongea na muhudumu bila kubugudhi abiria mwezako, utaratibu wa kushuka kwenye gari,vinywaji baridi vya Azam. mwisho kumtanguliza Mungu kwenye safari.

Sasa kutokana hali hiyo nikakumbuka safari yangu ya 1995 kutoka huko Kusini kuja Dar ambao tulisafiri na lory kwa siku sita, usafiri mwingine ilikuwa meli siku mbili majini, duh Kusini tumetoka mbali.

Kikwete hoyeeeeeeeeeeee
 
Kikwete hoyeeeeeeeeeeee

kwa kweli kikwete hana mkono kwenye hii road, japokuwa ana mchango mkubwa sana kwa kuziunganisha barabara kuu za Tz kwa kipindi chake, ila kwa suala la gas ameiua kbs ccm mkoani mtwara
 
Hivi huo ugonjwa Wa kusahau sahau mbona unakukabili kwa kasi namna hiyo? Hiyo ni kazi ya Mkapa na Magufuri (Rais mpendekezwa).
Swadakta, hiyo like niliyokupa kwenye kitufe haitoshi ongeza na hiyo. huwa nashangaa hongera wanampa kiwete kwa lipi coz muhusika ni che benja
 
2007 barabara ilikuwa nzuri mbona labda somanga maana miaka hiyo nilikuwa nasoma Moshi na sikuwahi kufika usiku ni jioni. Miaka hiyo bus zilikuwa wahida, najma ni wakali wa rough road wakaja. Maana wahida inatoka tunduru inafika dar saa kumi na moja

2007 barabara ilikuwa nzuri? una masikhara wewe....labda ilikuwa nzuri ukilinganisha na kipindi hicho watu wanalala siku 3 njiani...ila ilikuwa mbovu, tena ndo inajengwa...gari zilikuwa zinakwama kama kawa...
 
kuna lingine la kwenda Newala limeanza safari kama mwezi sasa lina hadi huduma ya internet ndani...
LEO LUXURY...

Newala ndo home, Nimepanda hili basi wiki mbili zilizopita, unatoka dar saa 12 asubuhi unaingia newala saa 8 mchana.
 
Aya ndugu zangu wote au vanamilume voohe kwa yoyote atakayotaka kuja Arusha mi niko tayari kumpokea na kumuonyesha kule aendako,
 
Kikwete ameingia ameingia madarakani amekuta km. 60 hazijakamilika

na mpk sasa haijakamilika

ndo kwanza anamwaga lami bagamoyo....

Bandari ya mtwara hakuna hela za kuboresha

ila kuna hela ya kujenga bandari mpya bagamoyo tehhhh
 
ila nna ushauri wa bule kwa wale ndugu zangu waliozamia mikoa wezetu, nimeona kesi nyingi za viwanja apa mkoani vlvle viwanja vinapanda bei kila siku, so km ulikua na shamba la urithi ulilitelekeza njoo araka ulidhibiti la sivyo utakuta wazungu wameshajenga magorofa
maana zile sehemu ambazo awali wa2 walikuwa awazitaki ata bure leo hii wakina dangote wanazinunua kwa garama yoyote.
yaani yule dingi ake Riz angekubali gas izalishwe na kufanyiwa kazi apaapa baa soma mbona mikorosho yote tungeika

hivi viwanja kule msangamkuu vinapatikana?una connection yoyote kule?
 
hivi viwanja kule msangamkuu vinapatikana?una connection yoyote kule?

msangamkuu bado kumepoa nafikiri unaweza pata kiwanja kirahisi kule, sijafika uko muda sasa tatizo kubwa kule ni inflastructure ya maji na umeme lkn km una nguvu kule sehemu kuwekeza kwa biashara kitalii, pia ukumbuke kuwa wakazi wa kule wamaraba wana maisha ya uswahili swahili
 
msangamkuu bado kumepoa nafikiri unaweza pata kiwanja kirahisi kule, sijafika uko muda sasa tatizo kubwa kule ni inflastructure ya maji na umeme lkn km una nguvu kule sehemu kuwekeza kwa biashara kitalii, pia ukumbuke kuwa wakazi wa kule wamaraba wana maisha ya uswahili swahili

Mkuu Chingas wale wenyeji kuwa na maisha ya kiswahili hakutazuia maendelea kuingia msangamkuu,kununua kiwanja kule inawezekana?wale wenyeji wote watahamishwa na wenye pesa zao
 
Mkuu Chingas wale wenyeji kuwa na maisha ya kiswahili hakutazuia maendelea kuingia msangamkuu,kununua kiwanja kule inawezekana?wale wenyeji wote watahamishwa na wenye pesa zao

bac fanya hima uwai maana akina dangote akuwafai kule kwa vile ni kisiwani japokuwa magari yanafika kwa kuzunguka
 
mkapa tunakukumbuka maana kilometa 60 zinajengwa miaka kumi yote ya kikwete wastani wa kilometa sita kila mwaka!!!
kwa barabara ya kusini kikwete wala sikushukuru
 
mkapa na magufuli pongezi kwenu. huyu kikwete kwenye utawala wake wa miaka 9 sasa ameshindwa kumalizia zile km 60

kweli kabisa kikwete hana lolote zaidi ya kuondoa gesi yetu kupeleka kwao uzaramoni
maana wamwela na wamakonde they dont deserve to have gas
but one day u gonna pay this we swear
 
Back
Top Bottom