Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UKiwa na janaba usitoe koment uta jiharibia tu.Mkapa kaenda kapa.
Kumbuka, hiyo barabara ni jitihada za Kikwete wakati ni waziri wa mambo za nje, Wa Kuwait ndio walitoa msaada. Eti Mkapa, Mkapa alivimbisha tumbo lake tu alipokuwa Ikulu.
Mkapa kaenda kapa.
Kumbuka, hiyo barabara ni jitihada za Kikwete wakati ni waziri wa mambo za nje, Wa Kuwait ndio walitoa msaada. Eti Mkapa, Mkapa alivimbisha tumbo lake tu alipokuwa Ikulu.
Mpishi...pale, labda utanikumbuka!!Mhhhh ulikuwa mwanakijiji wa Mangamba au mwanafunzi, ila kule ni girls tupu.....au mwalimu?
Kumbe wengi humu mlipita Mtwara Girls..aisee, nimewapenda bureeeeLol, umenikoshaje!!! Ming'oko, chikandanga, enzi zileee twaenda Mtwara girls (Red skirts) samaki wa Nangurukuru! I mis kusini daaah
Serikali iliomba fedha kutoka mashirika ya nje, walipata kiasi kidogo ambacho kisingeweza kujenga barabara hiyo, hivyo serikali iliamua kutumia fedha zake za ndani kujenga barabara hiyo, ndiyo maana Kikwete alipochukua madaraka hakuona umuhimu wa kujenga kipande cha kilomita sitini kilichokuwa hakijakamilika wakati muda wa Rais Mkapa ulipomalika.
Kipande hicho cha kilomita 60 kimetumia muda wote wa uongozi wa Kikwete kujengwa ambacho hadi sasa hakijamalizika, kama ingekuwa ni fedha ya Kuwait, barabara ingekuwa imekamilika, ujenzi wa kipande hicho, kwa mwaka ni sawasawa kusema kuwa wanajenga kilomita sita (6) tu kwa mwaka.
By Nature, nasikia wenyewe wanasema viwanja vimepanda bei lkn c kivile kulinganisha na mikoa ya nyanda za juu, kwa iyo ukiwa m 10 au 15 hadi 20 unapata kiwanja cha kutosha nyumba na garden yake
Vilevile leo nimepita kule Zambia road nimekuta nyumba mbili zenye hali mzuri zinauzwa wameka tangazo kubwa kbs
Ebu ngoja nifanye savey alafu nitkujulisha. Nilichokisoma sasa ivi ni kwamba nyumba nyingi za ktkt ya mji zinauzwa so bado una oportunite ya kupata eneo na ukawekeza
Ok mdada
Barabara yote imekamilika kwa lami?
hahaaaaaa
we kweli mtata kote huko...?!!
sabasaba asa hv hamna kitu pale full kufeli wanafunzi
mtwara girls waliotoa o level wakabaki advance asa uv wamewarudisha tena olevel
Madam B sabasaba mwaka gani hiyo? Coz mwaka wetu kuna mdada alikuaga mbishi balaa sio wewe kweli?
.....😛eep:
Hahahaahha.......sidhani kama tulisoma mwaka mmoja.
....sikia, unamfahamu sister du mmoja alikuwa anaitwa Pauline John, alikuwa mzuriii, mweupe mweupe hivi anaendesha baiskeli ya gia?..... unaumbuka kuna kipindi alitekwa mpaka mkuu wa shule akaitwa pale mkoani kujieleza?
Madame B unaniachaga hoi na story zako...unaonekana ulikuwa ni wale wa papo kwa papo ukizinguliwa alafu kesi badae
Viwanja vimepanda bei mdau tena sana! Hiyo nyanda ya juu kusini unayoisema ni ipi tusiyoijua? Eneo ambalo ni prime ni jiji la Mbeya hasa kule forest. Kiwanja Mtwara eneo la beach kule Shangani kimeuzwa 1bn/-, pale Mnarani kiwanja kiliuzwa 400m/-. Ni mkoa gani wa Tanzania ukiondoa Dar hasa Kariakoo na kule kwa washua Mikocheni au Masaki nk kiwanja kitauzwa 1bn? Kwa anaepafaham vizuri Mtwara pale karibu na Jeshini round about ya kanisa la biblia kuna kiuzio fulani cha garage ya Mpemba mmoja hivi nadhan anaitwa Abdu Swamad, Oilcom walitaka wanunue kwa 200m/- akakataa!
Hivyo viwanja vimepanda bei. Kule Msijute ndo viwanja bei hiyo million10, lakini pale town uwe na million20-30, ambayo ni bei ya kawaida hata hapa Dar utapata kiwanja kwa bei ya 10-30m/- kule Kinyerezi, Kitunda, Kongowe, Kigamboni nk. Kusema nyanda ya juu kusini kama Njombe, Songea, Iringa na Rukwa kwamba zinaweza ku compete na Mtwara sidhani, tena vimeshuka kidogo mara baada ya zile rapsha, vinginevyo bei ilikuwa ni ghali sana.
Pauline john alikua anavaa miwani? Ana kaa railway? ni msabato? au totally wrong!
Mpishi...pale, labda utanikumbuka!!
huyohuyoooooooo kudadekiiiiii, jirani yake na mtoto wa Lubinsha, Diana...anavaa miwani nyeupe alikuwa anatembea na mkaka mmoja alikuwa anaitwa Justin, kalegeeeeea.
Mtoto alikuwa anajifanya mashauzi sana yule Pauline....alikuwa anajiona mzuri na nyodo juu....watu tukamteka tukampeleka Mikindani kumpa kichapo cha haja.....ilivyokuja kugundulika kama sie ndo tumemteka....tulipewa adhabu na kufukuzwa shule, hapo niko form 2......ndo nikahamia Mtwara girls.
Aiseeeee......umenikumbusha mbaaliiiiii