qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
ddc wametolewa pale wanafugwa mbwa wa polisi (wa kudhibiti waandamanaji wa gesi)
Duuh wamehamishiwa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ddc wametolewa pale wanafugwa mbwa wa polisi (wa kudhibiti waandamanaji wa gesi)
Daadeq....mbona kama nakujua?
Hii ndo LIGULA PRIMARY SCHOOL...vichwa vingi vya Mtwara ndo chimbuko lake, tumepigishwa sana KWATA hapa na akina MAYELE(RIP) na akina Nachiputa...hahahaaaa..usimsahau Mwl Munga..akina DODI, Manento...Mwl Masali alikuwa na style yake ya kung'ata pua ni "RINGS"...hahaaa majambazi yote akina RAZARO, ANORD waliisoma namba
![]()
Unaiona "ngunja" hii hapa chini...hahaaa ni shida kwakweli. Hapo huezi kupata tuzo ya usafi mweee
![]()
Mwl. Jotta alifariki mwaka 1999 Mwalimu Mwangata bado yupo hadi leo ni Mwl. Mkuu mwl. Mrekoni amefariki mwaka huu nayeye. Walimu wengine wengi wamehama pale
Asante mleta uzi maana umenikutanisha na mmoja wa watoto tuliocheza utotoni Indian kota.
....yaani ilikuwa ikifika msimu wa embe, mtoto hatumwi dukani...ukimtuma tu, haooooo kwenye miembe.
Unapakumbuka kwa Mzee Mwakyoma, baba Hanifa, Mzee George....kule ng'ambo kwa mama Salama alikuwa na mapacha 2 wa kiume.
Unapakumbuka kwa kina Rehema, nyumbani kwao ndio kulikuwa na mipapai mitamu kota nzima, watu tulikuwa tunaamka saa 9 usiku tunaenda kupanda fensi ili kuiba mapapai.
Unakumbuka mibuyu ya pale bwawani?
Aiseeee.....hivi unamjua Ishumi Fadhili?
alikuwa mtoto toka Chikongola, akakosea step akaja kutuchokoza watoto wa kota....alichokipata, alihama mpaka shule
kwani hilo basi linamilikiwa na rizwaniInabidi tumkumbuke Kikwete.
Oh mammmaa!!!!!
darasa la 6 lileeeeeeee....
Hiyo ndio ilikuwa shule ya wagumu wa jiji na vitongoji vyake.
Chezea sana mbata, piga sana pushapu....mamaeeeee
Sizinga, aiseeeeee, nimekumbuka mbali sana.
Shule ina kunja la hatariiiiii....shule utadhani tuko vitani,
Hebu tupia na shamba la ufuta pale pembeni ya mikatani...kama halipo piga basi hata eneo lilipokuwa hilo shamba ili nikumbuke nilikotoka zaidi.
Mwl mkuu Mayele alikufa?????????(r.i.p)....mwalimu huyu ndie alikuwa anaogopwa mpaka na watu wa mtaani.
Jamani shule yetuuuuuuuu
Ha ha ha! Majina mengine yalishanitoka kama milenge ndo nakumbuka embe zilizoiva sana. Hivi pale Madukani kontena la wajanja( wenyew wakiita hivyo) la Shilling bado lipo!?
mayele hakua mwalimu mkuu alikua mwalimu wa hesabu darasa la saba,mwalimu mkuu alikua mama mwangata....nime mkumbuka subiri ngelezani alikuaga kila mwaka anashika mkia kwenye darasa lao ha ha haaa...enzi hizo niza bado anapiga soka kishule shule,wapi haidari jafari na majula.ha ha ha.
One of the best comment kwenye huu mjadala...hahahaaa wwe dada ni shida sana!! Mwenyewe ukionaaa rahaaaa kuchezewa na makondakta...lol
Hahaa shule yetu inaongoza kwa ngunja jamani wanafunzi wa Shangani walikuwa wanatutania sana. Na lile shamba la shule minazi yote ikaishia kukodishwa na kugemea pombe.
Asante mleta uzi maana umenikutanisha na mmoja wa watoto tuliocheza utotoni Indian kota.
....yaani ilikuwa ikifika msimu wa embe, mtoto hatumwi dukani...ukimtuma tu, haooooo kwenye miembe.
Unapakumbuka kwa Mzee Mwakyoma, baba Hanifa, Mzee George....kule ng'ambo kwa mama Salama alikuwa na mapacha 2 wa kiume.
Unapakumbuka kwa kina Rehema, nyumbani kwao ndio kulikuwa na mipapai mitamu kota nzima, watu tulikuwa tunaamka saa 9 usiku tunaenda kupanda fensi ili kuiba mapapai.
Unakumbuka mibuyu ya pale bwawani?
Aiseeee.....hivi unamjua Ishumi Fadhili?
alikuwa mtoto toka Chikongola, akakosea step akaja kutuchokoza watoto wa kota....alichokipata, alihama mpaka shule
Nizar Khalfan si nasikia alisoma Rahaleo Pr School baadae Ocean!
Oh mammmaa!!!!!
darasa la 6 lileeeeeeee....
Hiyo ndio ilikuwa shule ya wagumu wa jiji na vitongoji vyake.
Chezea sana mbata, piga sana pushapu....mamaeeeee
Sizinga, aiseeeeee, nimekumbuka mbali sana.
Shule ina kunja la hatariiiiii....shule utadhani tuko vitani,
Hebu tupia na shamba la ufuta pale pembeni ya mikatani...kama halipo piga basi hata eneo lilipokuwa hilo shamba ili nikumbuke nilikotoka zaidi.
Mwl mkuu Mayele alikufa?????????(r.i.p)....mwalimu huyu ndie alikuwa anaogopwa mpaka na watu wa mtaani.
Jamani shule yetuuuuuuuu
Nizar Khalfan si nasikia alisoma Rahaleo Pr School baadae Ocean!
Jamani hivi kweli Mwl. Mayele alifariki ?? (R.ip) Siamini bado kila mtu anasema lake jamani.
Mashamba yalishakufa zamani Ile minazi inagemewa pombe na mwl. Mayele ndio alikuwa anapenda sana mazingira nakumbuka ndiye alitufundisha wimbo wa Shule. Mwl. Chimpepo mzee wa Riadha sijui yuko wapi nae.
ha ha ha ishumi alikua anakaa kwa mbelenje pale,kuna hawa watu ate na ishe sijui wako wapi,mustafa lipwelele,mika milanzi,nelsoni john,kachichi,wile odale,sheila chindole,donati haule jaida mahamudu etc.
Kumbe tulikuwa wote?
unamkumbuka Asha Van Damme?
Hahaha Ishe na Ate nilikuwa na kaa nao jirani kota za Bima kule sijui wako wapi sikuizi. Yeah Ishumi hakuwa anakaa kota. William Odale naye yupo kwao mitaa ya ligula kule kwakina Zamda Shomari