Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

Hii ndo LIGULA PRIMARY SCHOOL...vichwa vingi vya Mtwara ndo chimbuko lake, tumepigishwa sana KWATA hapa na akina MAYELE(RIP) na akina Nachiputa...hahahaaaa..usimsahau Mwl Munga..akina DODI, Manento...Mwl Masali alikuwa na style yake ya kung'ata pua ni "RINGS"...hahaaa majambazi yote akina RAZARO, ANORD waliisoma namba

fkmnhf.jpg

Unaiona "ngunja" hii hapa chini...hahaaa ni shida kwakweli. Hapo huezi kupata tuzo ya usafi mweee

1pfkh4.jpg

Oh mammmaa!!!!!
darasa la 6 lileeeeeeee....
Hiyo ndio ilikuwa shule ya wagumu wa jiji na vitongoji vyake.
Chezea sana mbata, piga sana pushapu....mamaeeeee
Sizinga, aiseeeeee, nimekumbuka mbali sana.
Shule ina kunja la hatariiiiii....shule utadhani tuko vitani,
Hebu tupia na shamba la ufuta pale pembeni ya mikatani...kama halipo piga basi hata eneo lilipokuwa hilo shamba ili nikumbuke nilikotoka zaidi.
Mwl mkuu Mayele alikufa?????????(r.i.p)....mwalimu huyu ndie alikuwa anaogopwa mpaka na watu wa mtaani.
Jamani shule yetuuuuuuuu
 
Last edited by a moderator:
Mwl. Jotta alifariki mwaka 1999 Mwalimu Mwangata bado yupo hadi leo ni Mwl. Mkuu mwl. Mrekoni amefariki mwaka huu nayeye. Walimu wengine wengi wamehama pale

Mwaka jana nilienda ligula mama mwangata bado ni mwalimu mkuu,nilimkuta mwalimu masari,munga,na mwalimu fundi looh hawazeeki hawa watu wako vile vile.
 
Asante mleta uzi maana umenikutanisha na mmoja wa watoto tuliocheza utotoni Indian kota.
....yaani ilikuwa ikifika msimu wa embe, mtoto hatumwi dukani...ukimtuma tu, haooooo kwenye miembe.
Unapakumbuka kwa Mzee Mwakyoma, baba Hanifa, Mzee George....kule ng'ambo kwa mama Salama alikuwa na mapacha 2 wa kiume.
Unapakumbuka kwa kina Rehema, nyumbani kwao ndio kulikuwa na mipapai mitamu kota nzima, watu tulikuwa tunaamka saa 9 usiku tunaenda kupanda fensi ili kuiba mapapai.
Unakumbuka mibuyu ya pale bwawani?
Aiseeee.....hivi unamjua Ishumi Fadhili?
alikuwa mtoto toka Chikongola, akakosea step akaja kutuchokoza watoto wa kota....alichokipata, alihama mpaka shule

Hahaaa wewe umenigusa exactly kwa baba hanifa nakujua. Pia kwa Mama Salama napajua wale Mapacha Kulwa na Dotto nawajua kuna siku walienda kuvuna ulimbo wa kutegea ndege kwa bahati mbaya wakaumeza walilia sana mpaka mtaa mzima walikuwa wanataniwa hawana raha. Ni wajukuu wa bibi Mdimbe kama sikosei, daah mmenikumbusha mbali jamani.

Ishumi nampata pia maana zamani ukiwa na soo utajulikana tu.
 
Iv ukuna aliuesoma majengo primary au sino sec
 
Oh mammmaa!!!!!
darasa la 6 lileeeeeeee....
Hiyo ndio ilikuwa shule ya wagumu wa jiji na vitongoji vyake.
Chezea sana mbata, piga sana pushapu....mamaeeeee
Sizinga, aiseeeeee, nimekumbuka mbali sana.
Shule ina kunja la hatariiiiii....shule utadhani tuko vitani,
Hebu tupia na shamba la ufuta pale pembeni ya mikatani...kama halipo piga basi hata eneo lilipokuwa hilo shamba ili nikumbuke nilikotoka zaidi.
Mwl mkuu Mayele alikufa?????????(r.i.p)....mwalimu huyu ndie alikuwa anaogopwa mpaka na watu wa mtaani.
Jamani shule yetuuuuuuuu

mayele hakua mwalimu mkuu alikua mwalimu wa hesabu darasa la saba,mwalimu mkuu alikua mama mwangata....nime mkumbuka subiri ngelezani alikuaga kila mwaka anashika mkia kwenye darasa lao ha ha haaa...enzi hizo niza bado anapiga soka kishule shule,wapi haidari jafari na majula.ha ha ha.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha! Majina mengine yalishanitoka kama milenge ndo nakumbuka embe zilizoiva sana. Hivi pale Madukani kontena la wajanja( wenyew wakiita hivyo) la Shilling bado lipo!?

Teh teh mengine yananijia hapahapa Kontena la Shillingi sijui bado lipo maana kitambo sana jamani yaani sasa hivi ni mgeni kabisa wa ule mji.
 
mayele hakua mwalimu mkuu alikua mwalimu wa hesabu darasa la saba,mwalimu mkuu alikua mama mwangata....nime mkumbuka subiri ngelezani alikuaga kila mwaka anashika mkia kwenye darasa lao ha ha haaa...enzi hizo niza bado anapiga soka kishule shule,wapi haidari jafari na majula.ha ha ha.

Nizar Khalfan si nasikia alisoma Rahaleo Pr School baadae Ocean!
 
One of the best comment kwenye huu mjadala...hahahaaa wwe dada ni shida sana!! Mwenyewe ukionaaa rahaaaa kuchezewa na makondakta...lol

Aisee...we acha tyuuuuu.
Makonda wa kipindi kile, walikuwa mabingwa wa kutongoza wanafunzi na hivi tulikuwa tunapenda dezo (ila mie nitoe kwenye mkumbo...😛eep🙂 walikuwa wanalalajweeeee, maana nakumbuka gesti enzi hizo Rufiji ni sh 2000/= (elfu mbili)
....konda akija na chipsi kuku tu, hahhahaha, ni mwendo wa panua paja, mkwaju waja.

Aiseeeee......nimekumbuka mbali saaaaana
 
Hahaa shule yetu inaongoza kwa ngunja jamani wanafunzi wa Shangani walikuwa wanatutania sana. Na lile shamba la shule minazi yote ikaishia kukodishwa na kugemea pombe.

Kumbe tulikuwa wote?
unamkumbuka Asha Van Damme?
 
Asante mleta uzi maana umenikutanisha na mmoja wa watoto tuliocheza utotoni Indian kota.
....yaani ilikuwa ikifika msimu wa embe, mtoto hatumwi dukani...ukimtuma tu, haooooo kwenye miembe.
Unapakumbuka kwa Mzee Mwakyoma, baba Hanifa, Mzee George....kule ng'ambo kwa mama Salama alikuwa na mapacha 2 wa kiume.
Unapakumbuka kwa kina Rehema, nyumbani kwao ndio kulikuwa na mipapai mitamu kota nzima, watu tulikuwa tunaamka saa 9 usiku tunaenda kupanda fensi ili kuiba mapapai.
Unakumbuka mibuyu ya pale bwawani?
Aiseeee.....hivi unamjua Ishumi Fadhili?
alikuwa mtoto toka Chikongola, akakosea step akaja kutuchokoza watoto wa kota....alichokipata, alihama mpaka shule

ha ha ha ishumi alikua anakaa kwa mbelenje pale,kuna hawa watu ate na ishe sijui wako wapi,mustafa lipwelele,mika milanzi,nelsoni john,kachichi,wile odale,sheila chindole,donati haule jaida mahamudu etc.
 
Nizar Khalfan si nasikia alisoma Rahaleo Pr School baadae Ocean!

Niza alisoma ligula yule 1992-1998.akafeli la saba akaenda ocean sekondari....alikuaga na washikaji zake,majula,njemba,haidari,amadi darusi.
 
Oh mammmaa!!!!!
darasa la 6 lileeeeeeee....
Hiyo ndio ilikuwa shule ya wagumu wa jiji na vitongoji vyake.
Chezea sana mbata, piga sana pushapu....mamaeeeee
Sizinga, aiseeeeee, nimekumbuka mbali sana.
Shule ina kunja la hatariiiiii....shule utadhani tuko vitani,
Hebu tupia na shamba la ufuta pale pembeni ya mikatani...kama halipo piga basi hata eneo lilipokuwa hilo shamba ili nikumbuke nilikotoka zaidi.
Mwl mkuu Mayele alikufa?????????(r.i.p)....mwalimu huyu ndie alikuwa anaogopwa mpaka na watu wa mtaani.
Jamani shule yetuuuuuuuu

Jamani hivi kweli Mwl. Mayele alifariki ?? (R.ip) Siamini bado kila mtu anasema lake jamani.

Mashamba yalishakufa zamani Ile minazi inagemewa pombe na mwl. Mayele ndio alikuwa anapenda sana mazingira nakumbuka ndiye alitufundisha wimbo wa Shule. Mwl. Chimpepo mzee wa Riadha sijui yuko wapi nae.
 
Mwalimu dodi nae ni marehemu kafa kwa ngoma,mayele naskia alirudi kwao nachingwea huko full kunywa matapu tapu akawa kama amedata hivi ila sijui km ni marehemu sasa!!
 
ha ha ha ishumi alikua anakaa kwa mbelenje pale,kuna hawa watu ate na ishe sijui wako wapi,mustafa lipwelele,mika milanzi,nelsoni john,kachichi,wile odale,sheila chindole,donati haule jaida mahamudu etc.

Hahaha Ishe na Ate nilikuwa na kaa nao jirani kota za Bima kule sijui wako wapi sikuizi. Yeah Ishumi hakuwa anakaa kota. William Odale naye yupo kwao mitaa ya ligula kule kwakina Zamda Shomari
 
zamda shomari ha ha ha kaka utakua una nijua tu kama mitaa ya kwa kina odale una ijua ukivuta picha vyema waweza nijua.
 
Back
Top Bottom