Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,374
- 6,857
Said Mbelenje ndo mmiliki wa Ile Mtwara Raha...ni restaurant flani iko poa,pia anamiliki Stationary palepale maeneo ya SKOYA...lol kumbe ndo kimada wako X kipindi kile, safi sana MadameWeweeeeeee.....mbona sikupati.
Unajua nataka kukufananisha.
nakumbuka nilianza mahusiano na Saidi Mbelenje, tulikutana ndani ya basi la Wifi enzi nasoma Ligula, ukoo mkubwa lakini watoto wao wa kiume woooote madomo zege.
Sheila, Mustapha, Jaida wote hao nilikuwa nawajua.