Usafiri wa DARTS Hali ni mbaya hivi haiwezekani kuwa na kampuni 2 zinazotoa hiyo huduma

Usafiri wa DARTS Hali ni mbaya hivi haiwezekani kuwa na kampuni 2 zinazotoa hiyo huduma

Unawezathibitisha hiyo habari?
Septemba 1, kianza kazi ___ wanavyosema wao
Screenshot_20250824_071501_Chrome.jpg
 
Ngoja niende kwenye mada Moja Kwa Moja

Mimi nadhani inawezekana kuwa na kampuni 2 tofauti zinazotoa huduma ya usafiri wa mabasi ya mwendokasi

1) Kila kampuni inakuwa na rangi yake ya mabasi yake kwamfano

Kampuni Moja mabasi yake ni ya kijani

Kampuni ya pili mabasi yake ni Njano

2) Kampuni Moja tiketi zake au kadi zake ni za kijani

Na kampuni ya pili tiketi zake au kadi zake zinakuwa za njano

3) Kuna kuwa na mkaguzi katika kituo unapotaka kuingia ndani ya basi Ili kuhakikisha wewe abiria kama unayo tiketi yenye rangi ya basi la kampuni usika

Kwahiyo hapo Sasa Kila kampuni itakuwa fasta kuhakikisha wateja wake hawasoti vituoni maana kama Leo Nina tiketi ya kijani alafu mabasi Yao hayapo kesho nitanunu tiketi ya njano na kibiashara kampuni ambayo itakuwa fasta ndio itakayopata wateja wengi

Serikali itabaki kuchukua asilimia Fulani Kwa ajili ya miundombinu yake

Yani inawezekana na shida ya usafiri ingekuwa historia

Kwa Sasa hakuna shida ya usafiri wa boti kuenda Zanzibar Kwa sababu Kuna makampuni yanashindana

Yani inawezekana ila labda shida ni ufisadi na ubinafsi

Kulikuwa hakuna haja ya kutafuta muwekezajo Mwarabu Wala mchina hapa hapa nchini wangepatikana Aboud hawezi kushindwa kuagiza mabasi mia 300 au 400 ya mwendoka

Hivi kweli waliyopewa dhamani vichwa vyao havina uwezo wa kufikiria mambo kama haya?
Huwa nikikanyaga Dar najihisi kama Niko kuzimu Hilo jiji hapana kwakweli ni mojawapo la majini ya ovyo kuishi.

CCM wameliharibu vibaya sana Hilo jiji, kama hiyo issue ya UDART biashara inawateja wengi sasa iweje inspumulia machine badala inawiri?
 
Usafiri wa mwendokasi Dar utabaki kuwa wa kusumbua miaka mingi ijayo kwakuwa tuna viongozi dhaifu wasio na vision
 
Back
Top Bottom