A.MTALE
Member
- Aug 15, 2012
- 45
- 27
Watu husubiri mpaka masaa 2 kwenye vituo vikubwa na muda mwingi vituo vingine, mfumo wa watu kugombania kupanda gari za mwendokasi kwa vituo vya kimara, Morocco, Gerezani na Kivukoni ni mfumo hatari sana kiusalama. Watu wanaumizana sana na hata kuvunjika.
Gari linaweza fika kwenye hivyo vituo halafu linakaa pembeni tu bila kupakia watu hata zaidi ya dakika 30 halafu linasubiri watu wamekuwa wengi mno zaidi ya mno ndio linaenda watu wakagombee na kuumizana.
Nawashauri mamlaka zije ziwaeleze wananchi changamoto inayoukumbuka usafiri huu wa mwendokasi kwasasa na hatua gani za zinachukuliwa ili kuuweka uwe usafiri ulio safi, murua , wa haraka na salama zaidi.