Tunamshukuru raisi samia kwa hiliWatu husubiri mpaka masaa 2 kwenye vituo vikubwa na muda mwingi vituo vingine, mfumo wa watu kugombania kupanda gari za mwendokasi kwa vituo vya kimara, Morocco, Gerezani na Kivukoni ni mfumo hatari sana kiusalama. Watu wanaumizana sana na hata kuvunjika.
Gari linaweza fika kwenye hivyo vituo halafu linakaa pembeni tu bila kupakia watu hata zaidi ya dakika 30 halafu linasubiri watu wamekuwa wengi mno zaidi ya mno ndio linaenda watu wakagombee na kuumizana.
Nawashauri mamlaka zije ziwaeleze wananchi changamoto inayoukumbuka usafiri huu wa mwendokasi kwasasa na hatua gani za zinachukuliwa ili kuuweka uwe usafiri ulio safi, murua , wa haraka na salama zaidi.
Kabla ya serikali kuchukua hatua za dharura, We mwenyewe umeshindwa kuchukua Bajaj kama hatua ya dharura uwahi nyumbaniWatu husubiri mpaka masaa 2 kwenye vituo vikubwa na muda mwingi vituo vingine, mfumo wa watu kugombania kupanda gari za mwendokasi kwa vituo vya kimara, Morocco, Gerezani na Kivukoni ni mfumo hatari sana kiusalama. Watu wanaumizana sana na hata kuvunjika.
Gari linaweza fika kwenye hivyo vituo halafu linakaa pembeni tu bila kupakia watu hata zaidi ya dakika 30 halafu linasubiri watu wamekuwa wengi mno zaidi ya mno ndio linaenda watu wakagombee na kuumizana.
Nawashauri mamlaka zije ziwaeleze wananchi changamoto inayoukumbuka usafiri huu wa mwendokasi kwasasa na hatua gani za zinachukuliwa ili kuuweka uwe usafiri ulio safi, murua , wa haraka na salama zaidi.
Wakafanya Na Ziara Ya Kwenda Kupiga Nayo Picha Ili Kuwahadaa Hao Wanao Waita WanyongeWatu wameongea mpaka wakachoka.
Kila siku ahadi za uongo tu. Mara tunaleta mabasi, mwezi wa pili au watatu.
Yaani ni aibu juu ya aibu
"Tanzania ndo nchi pekee, Biashara ina kufa kwa kuzidiwa na wateja"Watu husubiri mpaka masaa 2 kwenye vituo vikubwa na muda mwingi vituo vingine, mfumo wa watu kugombania kupanda gari za mwendokasi kwa vituo vya kimara, Morocco, Gerezani na Kivukoni ni mfumo hatari sana kiusalama. Watu wanaumizana sana na hata kuvunjika.
Gari linaweza fika kwenye hivyo vituo halafu linakaa pembeni tu bila kupakia watu hata zaidi ya dakika 30 halafu linasubiri watu wamekuwa wengi mno zaidi ya mno ndio linaenda watu wakagombee na kuumizana.
Nawashauri mamlaka zije ziwaeleze wananchi changamoto inayoukumbuka usafiri huu wa mwendokasi kwasasa na hatua gani za zinachukuliwa ili kuuweka uwe usafiri ulio safi, murua , wa haraka na salama zaidi.
CCM JUUUWatu husubiri mpaka masaa 2 kwenye vituo vikubwa na muda mwingi vituo vingine, mfumo wa watu kugombania kupanda gari za mwendokasi kwa vituo vya kimara, Morocco, Gerezani na Kivukoni ni mfumo hatari sana kiusalama. Watu wanaumizana sana na hata kuvunjika.