Unalinganisha usafiri wa bus SA na bongo?Kivipi mkuu sijakuelewa maana wiki nne zilizopita nimeenda Jhb mpaka Durban kwa rand 800 nadhani sawa na Tsh 112,000 na Tiketi ya Kuja Tanzania na Kurudi SA Kenya Airways kwa USD 300...pana muda bei ya ndege kwenda Cape Town kutokea JHB inakua chini kuliko Bus na bado bus zinajaa tuu...
Ndo pale mnajikuta mmetua ziwa victoria😁😅😅😅Cheap is expensive
Sijalinganisha ila katika maisha yangu sijawahi fikiri kuwa itatokea nauli ya ndege kuwa chini harafu bus ipo juu kwa kipindi fulani harafu na bus zinajaza...Unalinganisha usafiri wa bus SA na bongo?
📥Na Mwanza to Dar? Je
Ndege zao ni nzuri, na kampuni ni nzuri pia. Nilishawahi kusafiri nao kutoka Mwanza kwenda Ngara, ila ilikuwa ni ile ndege ndogo zaidi ya watu wachacheCheap is expensive
Yaani ingekua haina faida hao Emarates na Qatar wangenunua ndege kubwa na kuwa na route karibu maeneo mengi ya Dunia hii huwezi kufanya biashara ya usafirishaji wakati Viongozi wanataka kupanda bure na kukatisha safari...Mhh sio haina faida ila ni vigumu kupata faida ingawa neno linalotumika ni kuwa ina faida kidogo sana yaani very low margin!
Lengo la uwekezaji siyo lazima faida ya moja kwa moja bali uwezeshaji wa shughuli nyingine zenye faida na impact kubwa kwa nchi zao (Dubai na UAE) yaani multiplying effect! Mkuu Isanga Family kuna hako ka sentensi ka mwisho "viongozi wanataka kupanda bure na kukatisha safari" ebu kafafanue ili tujadiliane.Yaani ingekua haina faida hao Emarates na Qatar wangenunua ndege kubwa na kuwa na route karibu maeneo mengi ya Dunia hii huwezi kufanya biashara ya usafirishaji wakati Viongozi wanataka kupanda bure na kukatisha safari...
Ally's Star! Hiyo bei ya ndege tunaomba iwe endelevu watu tukimbilie huko.Kuna Basi luxury Lina chaji 120, 000 Mza Dar.
Ina zidiwa adi na tahmedAlly's anawapiga sana huwezi mlipisha abiria 120k kwa Bus Coach, hiyo nauli ilitakiwa ichajiwe kwa Sleep Line Bus ambazo ni full luxury. Hata watu wa Latra hizo nauli wamepitisha kwa kufumba macho
Allys starKuna Basi luxury Lina chaji 120, 000 Mza Dar.
Allys star bus na linaondoka limejaa kila siku yanapishanaLinaitwaje?
Haulazimishwi mkuu wao wana gari za aina tatu kuna ambazo nauli 65k kuna 85k na 120k ni ww na pesa yako tuAlly's anawapiga sana huwezi mlipisha abiria 120k kwa Bus Coach, hiyo nauli ilitakiwa ichajiwe kwa Sleep Line Bus ambazo ni full luxury. Hata watu wa Latra hizo nauli wamepitisha kwa kufumba macho
Basi hii kuiita vip na watu wanajaa , ni kutokana na uelewa mdogo wa abiria .Hii hapa gari dar mwanza ni 120,000 na zinapishana na zinajaa kila sikuView attachment 2552546
Tunaongelea U tanzania ila unalazimisha Uzambia kwa kila mtu!! Ww jamaa vp!!Basi hii kuiita vip na watu wanajaa , ni kutokana na uelewa mdogo wa abiria .
Ukienda hapo Zambia tu basi hii hupakii mtu labda kama wanaenda msibani.
Kwa hiyo ukiwa mtanzania ndo utumie low class?Tunaongelea U tanzania ila unalazimisha Uzambia kwa kila mtu!! Ww jamaa vp!!
Basi hii kuiita vip na watu wanajaa , ni kutokana na uelewa mdogo wa abiria .
Ukienda hapo Zambia tu basi hii hupakii mtu labda kama wanaenda msibani.
Hapana bro bado.mnaibiwaView attachment 2552647View attachment 2552648Naona ziko vizuri. 120k is fair
Rostam alinunua zile za coastal! Hizi ni za Hussein!Mkuu hii si kampuni ya Rostam inaanza kazi rasmi au?