Usafiri wa ndege TZ: Wahabeshi/Ethiopian Airlines wamewezaje, tukashindwa sisi?



Nimependa matumizi ya ................
 
Huwa nawaza kama kale kandege ka rais kalipelekea wananchi kula majani haya madege makubwa makubwa ya long flight across the continent with many destinations ambayo ndio desire yetu si watu watakula moram?

Ni ubutu uliopindukia kwa taifa kama Tanzania with lots of resources and opportunities to miss potential national-owned airliner hatujawahi kuwa na viongozi kwenye taifa hili baada ya NYERERE.
 
Sisi ni mabingwa kuunda TUME, sasa tunaunda MFUKO WA KUDHIBITI UKIMWI TANZANIA kupiga hela za WAFADHILI na WALIPA KODI. Hayo mambo ya kitaalamu/biashara za kimataifa tutashindwa jinsi ya kula pesa.
 
uvivu ndio tabia yetu kuu. Mambo ya ndege yanataka nidhamu, weledi wa hali ya juu. Kuna tetesi haya mashirika makubwa ya ndege Emirates, Qatar, KQ huwaweka wazee sawa ili kukwamisha TWIGA MNYONGE (ATC) kupaa hewani
 

Gotcha!
Very good analysis
 
inatia hasira yaani unapoona shirika kama EMIRATES, fly dubai wanaongeza safari TZ tena ndege kubwa na inajaa (direct flight DAR-DUBAI) ,pia TURKISH, ETHIOPIAN, KQ, QATAR, EGPT AIR, SAA, KLM, SWISS AIR, Rwandair, Fastjet sisi na ATCL bado tumelala
 
ATCL ni uwendawazimu tu pale Jengo kubwaaaa, wafanyakazi 300 lakini ndege za kubabia. SHAME ON US! wakati United Arab Emirates (UAE) wana mashirika zaidi ya 3 (Emirates, Etihad, Air Arabia, Fly Dubai) sisi, United Republic of Tanzania (URT) ndo tunafundishana ujinga ujinga mashuleni na elimu yetu ya BUREEEEEE!!
 
Sisis kama Taifa tushughulikie Uzalishaji wa VIROBA ndo tuna uwezo navyo
 
Sifa hizi ndio sababu, wizi, uzembe, rushwa, uaminifu, uongo, usumbufu, na kibaya zaidi watu hawana imani ya kweli, in this case nothing will function properly
 
Mleta mada hivi haujuwi kuwa Watanzania walio wengi ni wezi, wavivu, waongo, hawana uwajibikaji, hawana "sense of responsibility", wapo "substandard"? Au unatania tu ulipouliza "wameweza, tukashindwa sisi"?

Watanzania hususan kwenye mashirika ya umma wana sifa zote nilizoziainisha hapo juu, na hakuna mwenye afadhali.

Tuna miaka 200 ya kufikia kiwango cha wenzetu wa kiwango cha chini katika uliowataja. Tena inabidi tuwe na dikteta wa ukweli.
 
Haya sasa Ndege mpya 3 zinakuja muanze kuiba tena. Safari hii si kuachishwa kazi tu tunakuweka jela kwa kuhujumu uchumi na kutakasa pesa
 
duu sasa faiza kwa Mara ya kwanza nakupa likes mbona tena umeleta ukabila
 
vijana wengi wa kitanzania wamekaa kiwizi wizi tu, kazi kudukua/kudokoa pesa za watu kwenye akaunti za watu
 
ATCL wakitaka kufanikiwa watafute CEO ngozi nyeupe asiyetetemeshwa na wanasiasa! Makampuni ya ndege mengi yaliyofanikiwa (Qatar, Emirates, Etihad, Oman Air etc.) mengi yameajiri WAZUNGU (tuseme ukweli wamatumbi wenzangu, sisi ngozi nyeusi tumekaa kiwiz wizi sana)
** NDOTO: Naiona ATC mpya ikitua Schiphol-Amsterdam halafu inaunga Washington Dulles - USA, wakati ile ya pili inakata anga kuelekea Dubai kisha Beijing - China. Asante awamu ya 5.
 
andreakalima umegonga ikulu sisi waswahili tumejaa tamaa mno, bora tuweke mzungu tena atoke USA, Canada, UK, Australia si mnaokota mzungu katoka Romania sijui Estonia huko njaa kali kushinda sisi atapiga tu na yeye
 
Naiona ATC ikitua Paris kisha unaunga Stockholm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…