Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tubadilishe jina la kampuni itakayoendesha hizo ndege mpya kuwa Kilimanjaro Airlines maana nina wasiwasi huenda ATC zinadaiwa huko nje so tukitumia jina hilo hilo huenda zikazuiwa huko nje
Itachukua mda kufikia huko lazima uwe na ndege yakuruka na kwenda masafa marefu mfano Airbus A330-Airbus,Airbus A340,Airbus A350,A380 au Boeing 747-400,Boeing 748-8i,Boeing 777-200,777-300,Boeing 787-9 kama taifa tukiwa na hizi tutafika huko.Na hizi zote kununua ni gharama kubwa sana na mipango madhubutiNaiona ATC ikitua Paris kisha unaunga Stockholm
jamani mimi huwa nakiuliza hivi iweje Tanzania kweli tunakosa shirika la ndege lenye ndege za kuruka sehemu ambazo kimsingi ni potential kwa biashara kama DUBAI, JOHANNESBURG, LAGOS/ACCRA ENTEBBE, LUSAKA hata LONDON etc?
mbona hawa wahabeshi/ET wameweza pamoja na kuwa sisi tuna kila kitu? tumilogwa? ukipita ADDIS ABABA ukiona jinsi hawa wahabeshi walivyo na ndege nyingi zinazoruka duniani kote ndo utashangaa!!
Uwezi conclude wachaga,wahaya na wanyakusya ndio walioiba serikalini na kuuwa mashirika ya umma,napingana na we we kwa sababu kuna wachaga,wahaya na wanyakuswa wazuri sana walio litumikia hili taifa,ungekuwa vizuri kama ungetaja majina ya hao walioiba na kuuwa hayo mashirika kwani kipindi hicho hakukuwa na serikali?.Hakuna kitu kibaya kama kupandikiza mbegu ya ukabila nakubagua baadhi ya makabila kwa kosa alilofanya mtu mmoja mnachafua kabila zima.Au maendeleo mnayo yaona kwenye hayo maeneo mnajua wameiba,nijufikirishe wakati wao wakilima na kufanya biashara hili wapate kubadilisha mfumo wao wa maisha na kuwekeza kwenye elimu ya vizazi vyao upande mwingine wao wanacheza ngoma au awajishughulishi wanawaza leo na kutafuta shibe ya leo awafikirii kesho itakuwaje wao na watoto wao.Nafikiri sio vizuri kusema kabila sema Fulani ndio alifanya hivi.Usiseme wezi ni CCM pekee, sikatai wapo lakini tuuseme ukweli, Watanzania wengi sana wezi na wengi wapo kwenye vyama na wasiokuwepo kwenye vyama. Kuna walioiibia Serikali na kuuwa mashirika ya umma Tanzania hii zaidi ya Wachagga, Wahaya na Wanyakyusa? Tuseme kweli.
tuwaepuke PhD holders na makada katika shirika la ndege hilisisi tunahitaji mtaalam wa biashara za masuala ya usafirishaji wa anga/aviation/commercial flights, nafasi itangazwe kimataifa, afanyiwe interview na panel ya wataalamu (si wanasiasa) wa ndani na nje atakayeshinda kwa haki apewe kazi na Vigezo vya muda maalum kuongoza ATCL kwa ufanisi.