Usafiri wa ndege TZ: Wahabeshi/Ethiopian Airlines wamewezaje, tukashindwa sisi?

Usafiri wa ndege TZ: Wahabeshi/Ethiopian Airlines wamewezaje, tukashindwa sisi?

Jamani mimi huwa nakiuliza hivi iweje Tanzania kweli tunakosa shirika la ndege lenye ndege za kuruka sehemu ambazo kimsingi ni potential kwa biashara kama DUBAI, JOHANNESBURG, LAGOS/ACCRA ENTEBBE, LUSAKA hata LONDON etc?

Mbona hawa wahabeshi/ET wameweza pamoja na kuwa sisi tuna kila kitu? tumilogwa? ukipita ADDIS ABABA ukiona jinsi hawa wahabeshi walivyo na ndege nyingi zinazoruka duniani kote ndo utashangaa!!
Wew waethiopia shirika lao liko pamoja na shirika la ndege la Israel. Ila still sio suala la kisingizio
 
ATCL Jitahidini mtutoe kimasomaso!
 
Inasikitisha na kuhuzunisha. Rwanda wanapeleka vijana kujifunza Ethiopian airlines sisi tunapeleka vijana Jei Kei Tii kulima mchicha
ATCL pelekeni vijana wakajifunze
 
Nadhani hii ni ndoto fulani hivi! Wenzio ndio kwanza wamebook toka Boeing ndege nyingine 10 ambazo zitawezesha ET kufikisha zaidi ya ndege 100, we unasema "itajifia" ni kama yule fisi aliyekuwa akivizia mkono wa mtu ukatike autafune!! Fika Bole International Airport uone kazi!!!

Japo Bole kuna vyoo vya ajabu lkn kwa Yale madege makubwa kama treni, nawapa 100% ya 100%
 
Tunaonge mengi sana lakini maoni,yangu ni kuwa ukosefu was shirika bora LA ndege Tanzania ni fursa kwetu je tumeitumiaje /,.tuandike hata proposal tu ya kuanzisha hii biashara inawezekana
 
Eee lazima tushindwe mana KILA muheshimiwa akiagiza bombadia mnampuuza na kusema hatuhitaji ndege
 
Usiseme wezi ni CCM pekee, sikatai wapo lakini tuuseme ukweli, Watanzania wengi sana wezi na wengi wapo kwenye vyama na wasiokuwepo kwenye vyama. Kuna walioiibia Serikali na kuuwa mashirika ya umma Tanzania hii zaidi ya Wachagga, Wahaya na Wanyakyusa? Tuseme kweli.
Mkwere miaka 10 Magogoni alishindwa kununua hata ndege chakavu 1
 
Jamani mimi huwa nakiuliza hivi iweje Tanzania kweli tunakosa shirika la ndege lenye ndege za kuruka sehemu ambazo kimsingi ni potential kwa biashara kama DUBAI, JOHANNESBURG, LAGOS/ACCRA ENTEBBE, LUSAKA hata LONDON etc?

Mbona hawa wahabeshi/ET wameweza pamoja na kuwa sisi tuna kila kitu? tumilogwa? ukipita ADDIS ABABA ukiona jinsi hawa wahabeshi walivyo na ndege nyingi zinazoruka duniani kote ndo utashangaa!!
Shirika linamilikiwa na waingereza na pia hao jamaa wanaishi maisha ya tabu kuliko unavyofikiria ukiwa ethiopia kukata tamaa ni 100% kuliko matumaini kila siku utasika waethiopia wamekamatwa morogoro tanga dodoma mbeya kwann hujiulizi?nchi yao ni maskini kupindukia na siyo watu wakufanya kazi ila ukipata nafasi ya kwenda kule kazi za nguvu kwa wabantu ndiyo tunaweza ila hao ni legelege sana ila jamaa wana wadada wazuri mno na wabaguzi mno sana ukiwa mweupe hata kama ni mbantu hawana shida wanazani umechanganya damu ya kwako,wanapenda sana nchi za kiarabu kufanya kazi hasa kazi za ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom