mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Sikia maelezo yake amesema kuna wengi wameambukizwa ila bado hawajafahamika kutokana na miundo mbinu kuwa duni...pia kuna wengine wanafanya siri akatolea mfano yule waziri wa Zanzibar matokeo yake kaambukiza mpaka watoto kwahiyo maambukizi mengi kuliko kasi ya kutangaza...
Sijakubali wala kupinga nimemsikiliza tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mrundi?Yet lanzini in Lazio za serikali tu, kama unaenda Kenya kazi zako, au kazi binafsi hanna shida.
Amekosa kuelewa his kazi zinategemeana, Luna ofili Huawei separates Walter kuwahudumia kama Gandhi ya ofili zimedungwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
FUNGA MIPAKA
FUNGA WATU KUZURURA MJINI
FUNGA OFISI
Jisomee wewe shule zikifunguliwa mnakutana na test.
Kama = sioHuu utaratibu usiishe uwe endelevu hata corona ikiisha. Tutakuwa kama mbele vile.
#RWANDAUGANDA
NO.PRIV CARS
NO BUSES
NO MOTBK
NO LODGE
NO BAR
DONT ASK.M ABOUT SEX
(.
๐ ๐ ๐ ๐ ๐โmmoja wa mwisho, tembea sukaโ
Yet lanzini in Lazio za serikali tu, kama unaenda Kenya kazi zako, au kazi binafsi hanna shida.
Amekosa kuelewa his kazi zinategemeana, Luna ofili Huawei separates Walter kuwahudumia kama Gandhi ya ofili zimedungwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Badala ujibu swali una mbwela tu.. Idadi ya abiria ni ile ile vituoni na daladala hazijaongezeka wenye magari wanapata vipi hasara..Unataka uorodheshewe gharama zote ili iweje?
Wewe ni mwen$%^&* . Hivi hufahamu kuwa watanzania wengi maisha yao ni subsistence living??? wasdHivi unashauri serikali izuie watu kwenda kuhangaika wataishi vipi?? Au mwenzetu uko sayari gani???Ni bora serikali wafanye wasitishe watu wote wasiende makazini ili kuepusha kuenea kwa ugonjwa wa Corona kuliko kuzuia usafiri wa umma uwe level seat.
Leo kuna adha kubwa ya usafiri kwa sababu ya level seat. Ni hatari sana kwa maendeleo ya uchumi
kitochi
Imagine! Level seat anapata shilingi ngapi halafu darajani aache 5,000 ambayo ni abiria 10! It's impossible.Na kila daladala linapotaka kuvuka darajani linalipia Tshs 5000 kwa ruti kama sijakosea. Mwendo wa hasara tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wanakimbia malipo ya daraja. Kila akivuka daraja ni 5,000. Imagine kafanya trips 5 kwenda,5 kurudi anaacha 50,000 kwa siku! Kwa biashara ipi?!Mbona ziko ndogo sana
god is good
Simple maths.Badala ujibu swali una mbwela tu.. Idadi ya abiria ni ile ile vituoni na daladala hazijaongezeka wenye magari wanapata vipi hasara..