Usafiri wa umma watakiwa kubeba abiria kwa idadi ya viti 'Level Seat' ili kupambana na mlipuko wa Virusi Corona

Usafiri wa umma watakiwa kubeba abiria kwa idadi ya viti 'Level Seat' ili kupambana na mlipuko wa Virusi Corona

Sasa yeye amewajuaje kama ni WENGI WALIOATHIRIKA?.
Sikia maelezo yake amesema kuna wengi wameambukizwa ila bado hawajafahamika kutokana na miundo mbinu kuwa duni...pia kuna wengine wanafanya siri akatolea mfano yule waziri wa Zanzibar matokeo yake kaambukiza mpaka watoto kwahiyo maambukizi mengi kuliko kasi ya kutangaza...

Sijakubali wala kupinga nimemsikiliza tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sidhani kama kuna watu wanazurura mjini hawana kazi. Na ukimuona mtu mjini anazurura tu basi ujue anatafuta kazi..kufunga ofisi Ina maana maduka yote yafungwe, magenge yafungwe, na kila kitu kisimame tukae ndani je tutaweza?

unaweza ukawa na hela lakini maduka ya vyakula yamefungwa. Utakula hela zako?
FUNGA MIPAKA
FUNGA WATU KUZURURA MJINI
FUNGA OFISI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kunguni wa ulaya, Hii ndiyo level siti mkuu?
Screenshot_20200331-085413.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
UGANDA
NO.PRIV CARS
NO BUSES
NO MOTBK
NO LODGE
NO BAR
DONT ASK.M ABOUT SEX
(.
 
Ni bora serikali wafanye wasitishe watu wote wasiende makazini ili kuepusha kuenea kwa ugonjwa wa Corona kuliko kuzuia usafiri wa umma uwe level seat.

Leo kuna adha kubwa ya usafiri kwa sababu ya level seat. Ni hatari sana kwa maendeleo ya uchumi

kitochi
Wewe ni mwen$%^&* . Hivi hufahamu kuwa watanzania wengi maisha yao ni subsistence living??? wasdHivi unashauri serikali izuie watu kwenda kuhangaika wataishi vipi?? Au mwenzetu uko sayari gani???
 
Mbona ziko ndogo sana

god is good
Wengi wanakimbia malipo ya daraja. Kila akivuka daraja ni 5,000. Imagine kafanya trips 5 kwenda,5 kurudi anaacha 50,000 kwa siku! Kwa biashara ipi?!
 
Badala ujibu swali una mbwela tu.. Idadi ya abiria ni ile ile vituoni na daladala hazijaongezeka wenye magari wanapata vipi hasara..
Simple maths.
Mfano abiria ni 500.
Ukibeba level seating ni 50 kwa trip. Kwahio unahitaji trips 10 kubeba watu 500.
Trip moja mafuta 15,000 jumla trips zote mafuta 150,000.

Wakibeba kama kawaida (kujaza) anabeba 100 Kwa trip. Kwahio anahitaji trip 5 tu kubeba watu 500.
Mafuta 15,000*5=75,000.
 
Back
Top Bottom