Hakuna kitu hapo, Bado kuna utata, kwenye Podium inapaswa kukaa ngao nembo ya Taifa, hizo anazo taja za Kenya ziko tu kwenye bendera ya Raisi basi na si kwingineUfafanuzi mzuri sana huu natamani kila Mtu akiusoma utamsaidia sana kutambua alama Mbalimbali za Taifa na Matumizi yake
Mkiwa vilaza kuingizwa chaka ni rahisi sana nchi ina wajinga sana mfano wake ni weweHakika hili cz
Hakika hili darasa zuri Sana.. Kuna mijamaa flani hivi ilikuwaga tayari ishaanza kutupeleka Chaka. W alikuwa tayari kuanda mikutano ya siasa hili kupotosha watu kuhusu hili.
Shule ya bure. Good.Hiyo ni nembo ya Rais mara nyingi hutumika kwenye mikutano ambayo Rais pekee ndio ataongea kwenye hiyo Podium ya kwake, endapo podium itatumiwa na watu tofauti tofauti huwa inawekwa nembo ya Bibi na Bwana, kwa ujumla ni mambo ya Protocol
Bendera ya Ikulu ni kitu gani?Je bendera za Maraisi wa Kenya unao wataja zinaingiliana na ile ya Taifa la Kenya? Angalia kwenye Podium za Maraisi wa Kenya huwa zina nembo ya Taifa na sio bendera unacho kitaja wewe kinakaa tu kwenye bendera ya Ikulu.
Kuchamba kwingi kutoka na kinyesi, wapi imeandikwa kwenye podium lazima ikae nembo ya Taifa, wapi?Hakuna kitu hapo, Bado kuna utata, kwenye Podium inapaswa kukaa ngao nembo ya Taifa, hizo anazo taja za Kenya ziko tu kwenye bendera ya Raisi basi na si kwingine