Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Naungana na Trump kwamba USAID kuna kitu nyuma yake. Hakuna mtu anaweza lazimisha kukupa msaada bila kufaidika na msaada anaokupa.Hili ni kinyume cha sheria. Si Donald Trump wala Elon Musk anayo mamlaka ya kufuta USAID; ni Bunge (Congress) pekee linaloweza kufanya hivyo kwa kupitisha sheria.
Kesi za kisheria zinaendelea, ili kujaribu kuzuia hili.
JFK alitoa amri ya kiutendaji kuunda USAID, kisha baadaye Bunge lilipitisha sheria iliyoifanya USAID kuwa taasisi huru. Hivyo, kufuta USAID kungehitaji sheria ya Bunge (si amri ya kiutendaji).
Kuna watu chumi zao zimeguswa pabaya