Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
- Thread starter
- #21
Pole mkuu peleka wizara ya AfyaNilikua na ki proposal changu ktk mradi wa KIJANA NAHODHA hapo USAID ,nikafanyie Mkoani huko...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu peleka wizara ya AfyaNilikua na ki proposal changu ktk mradi wa KIJANA NAHODHA hapo USAID ,nikafanyie Mkoani huko...
Wana Land Cruiser LX nyingi sana ngoja niongee na boss Lady wakiniuzia 3 nakata body natengeneza war bus mwezi June nitapiga kazi Serengeti kama kichaa.Wale wenye proposal huko imekula kwetu
Hahahaha,,jamaa wakipiga mnada vitu vyao nifuatilieWana Land Cruiser LX nyingi sana ngoja niongee na boss Lady wakiniuzia 3 nakata body natengeneza war bus mwezi June nitapiga kazi Serengeti kama kichaa.
Dah hali sio nzuri watu wanapata major depressionHatimaye Kodi za apartment na ushindani wa mademu unaenda kuwa level Sasa.
Najua kuonyesha hawajaumia wengi wataanza kutumia akiba zao vibaya ili kumaintain status na ndio njia itakayowamaliza mapema zaidi.
Kuna vitabu vya sekondari vina nembo ya US AID1. Kuna maelfu ya watu wamepoteza ajira.
2. Kuna maelfu ya vendors wamepoteza malipo.
3. Kuna watu wamepoteza mitaji kwa uwekezaji wakitegemea tenda na kadhalika.
4. Kuna wafanya biashara wengi wanaenda kuharibikiwa na vitu walivyo nunua/stock wakijua watatumia kwenye kazi/tenda za mashirika.
5. HIV imeingia katika karibu kila familia na hawa watakua waathirika wakubwa.
Bado una denial kubali u move on. Bia za bure vimeyeyuka. Hotel za nyotaPesa za tax cuts kwa mabilionea lazima zipatikane, lakini Trump hana uwezo wa kuiua USAID , only Congress ndio wanaweza, anaweza freeze funds zao kwa muda na kufukuza wafanyakazi au kufunga operations zao kwa muda tuu
Hao ndio tulibishana humu kazi za govt na ngo's wanasema wao wanajivunia exposure,Dah hali sio nzuri watu wanapata major depression
Huko si inaenda kutupwa ?Pole mkuu peleka wizara ya Afya
Tanzania ndio ilikuwa kinara Afrika kupokea maburungutu huko USAID.Kuna vitabu vya sekondari vina nembo ya US AID
Pia dawa za ARV na TB
Kuna kiwanda kipo kibaha ni cha US AID
NI HATARI TUPU
Pesa walipata nyingi kweli sema wengi walifanyia starehe wakijua kazi bado ipo.Hao ndio tulibishana humu kazi za govt na ngo's wanasema wao wanajivunia exposure,
Waitumie kupata kipato
Acha kabisa bro waliosema mtegemea cha ndugu hawakukoseaDah aise pole mkuu na walikuwa wanalamba pesa sio mchezo
Afadhal,pesa zilikuwa zinawanufaisha wachache tu nikweli kutakuwa na athari1. Kuna maelfu ya watu wamepoteza ajira.
2. Kuna maelfu ya vendors wamepoteza malipo.
3. Kuna watu wamepoteza mitaji kwa uwekezaji wakitegemea tenda na kadhalika.
4. Kuna wafanya biashara wengi wanaenda kuharibikiwa na vitu walivyo nunua/stock wakijua watatumia kwenye kazi/tenda za mashirika.
5. HIV imeingia katika karibu kila familia na hawa watakua waathirika wakubwa.
Lakini kulikuwa na upigaji wa kutosha huko. Pesa nyingi iliishia katika kujilipa mishahara na marupurupu mengine. Ndio maana tuliishia kununuliwa vyandarua nasi kama mazuzu tunashangilia.Zile chandarua za bure tulizokua tunafugia kuku bye bye
Kwa hiyo wasipaniki mambo yatakuwa shwari tu?Pesa za tax cuts kwa mabilionea lazima zipatikane, lakini Trump hana uwezo wa kuiua USAID , only Congress ndio wanaweza, anaweza freeze funds zao kwa muda na kufukuza wafanyakazi au kufunga operations zao kwa muda tuu
Itabidi atafute kazi nyingineNina rafiki yangu akifanyakazi Kizazi hodari sijui itakuwaje.