USAID hatimae imekufa rasmi kwa taarifa hii

USAID hatimae imekufa rasmi kwa taarifa hii

1. Kuna maelfu ya watu wamepoteza ajira.
2. Kuna maelfu ya vendors wamepoteza malipo.
3. Kuna watu wamepoteza mitaji kwa uwekezaji wakitegemea tenda na kadhalika.
4. Kuna wafanya biashara wengi wanaenda kuharibikiwa na vitu walivyo nunua/stock wakijua watatumia kwenye kazi/tenda za mashirika.
5. HIV imeingia katika karibu kila familia na hawa watakua waathirika wakubwa.
Kuna vitabu vya sekondari vina nembo ya US AID

Pia dawa za ARV na TB

Kuna kiwanda kipo kibaha ni cha US AID

NI HATARI TUPU
 
Pesa za tax cuts kwa mabilionea lazima zipatikane, lakini Trump hana uwezo wa kuiua USAID , only Congress ndio wanaweza, anaweza freeze funds zao kwa muda na kufukuza wafanyakazi au kufunga operations zao kwa muda tuu
Bado una denial kubali u move on. Bia za bure vimeyeyuka. Hotel za nyota
3 na 4 ndio basi tena.
 
1. Kuna maelfu ya watu wamepoteza ajira.
2. Kuna maelfu ya vendors wamepoteza malipo.
3. Kuna watu wamepoteza mitaji kwa uwekezaji wakitegemea tenda na kadhalika.
4. Kuna wafanya biashara wengi wanaenda kuharibikiwa na vitu walivyo nunua/stock wakijua watatumia kwenye kazi/tenda za mashirika.
5. HIV imeingia katika karibu kila familia na hawa watakua waathirika wakubwa.
Afadhal,pesa zilikuwa zinawanufaisha wachache tu nikweli kutakuwa na athari
 
Watanzania wanaweza kukesha wakiomba shirika linalojiita la msaada kutoka America lisife wakati huohuo kuna msshirika ya nchi yao yamekufa wala hata hawawazi.
Kiwanda kunaweza kufa ndani ya nchi hii likawa ni jambo la kawaida lakini msshirika haya ya nje yenye kutengeneza matatizo lukuki yakaonekana ni mazuri.
Kwa taarifa zilizopo hili shirika la USAID pesa zake nyingi hutumika kufanya tafiti za silaha za kibaolojia/ bioweapon hasa mataifa ya Asia na afrika.

Waafrika wachache walioajiriwa humo hawajui hili wao ni kufurahia mishahara wakati nyuma ya pazia wale wakuu wao wapo kazini kupambana kudhibiti vizazi na vizazi kwa gharama yoyote hata ikihitajika kuua mamilioni ya wanadamu nje ya nchi yao.
Waafrika tuamke hawa watu hawatupendi bali wanatamani hata leo tusiwepo ili wao waje kuanzisha makaazi huku kwetu.
 
Back
Top Bottom