USAID hatimae imekufa rasmi kwa taarifa hii

USAID hatimae imekufa rasmi kwa taarifa hii

Watanzania wanaweza kukesha wakiomba shirika linalojiita la msaada kutoka America lisife wakati huohuo kuna msshirika ya nchi yao yamekufa wala hata hawawazi.
Kiwanda kunaweza kufa ndani ya nchi hii likawa ni jambo la kawaida lakini msshirika haya ya nje yenye kutengeneza matatizo lukuki yakaonekana ni mazuri.
Kwa taarifa zilizopo hili shirika la USAID pesa zake nyingi hutumika kufanya tafiti za silaha za kibaolojia/ bioweapon hasa mataifa ya Asia na afrika.

Waafrika wachache walioajiriwa humo hawajui hili wao ni kufurahia mishahara wakati nyuma ya pazia wale wakuu wao wapo kazini kupambana kudhibiti vizazi na vizazi kwa gharama yoyote hata ikihitajika kuua mamilioni ya wanadamu nje ya nchi yao.
Waafrika tuamke hawa watu hawatupendi bali wanatamani hata leo tusiwepo ili wao waje kuanzisha makaazi huku kwetu.
Acha uongo wewe mzungu na mmarekani kama hakupendi wewe humalizi mwaka anafuta kizazi chako huna la kumzuia hizo propaganda waambie wajinga wenzio
 
Lakini kulikuwa na upigaji wa kutosha huko. Pesa nyingi iliishia katika kujilipa mishahara na marupurupu mengine. Ndio maana tuliishia kununuliwa vyandarua nasi kama mazuzu tunashangilia.
US hawezi kulipa mishahara kama ya Tanzania , wana standard zao, na sio pesa nyingi kwao, mishahara mingi ya USAID ni chini ya low minimum wage in US
 
USAID is officially dead.

Elon Mask alisema USAID ni shirika la kihalifu na linapaswa kufa

Kwa taarifa hii ni wazi kwamba kauli yake imetekelezwa

Je ndugu zangu nini itakuwa athari kwa Afrika hususani Tanzania aliyekuwa anaongoza kwa kupokea mafungu huko USAID

View attachment 3225645
democrats wanakwenda mahakamani kupinga EO za Trump kuhusu USAID
 
USAID is officially dead.

Elon Mask alisema USAID ni shirika la kihalifu na linapaswa kufa

Kwa taarifa hii ni wazi kwamba kauli yake imetekelezwa

Je ndugu zangu nini itakuwa athari kwa Afrika hususani Tanzania aliyekuwa anaongoza kwa kupokea mafungu huko USAID

View attachment 3225645
Habari tamu sana hii ....na amini yule mzanzibar mpumbavu samia bushiri kibushuti amezisikia
 
Back
Top Bottom