USAID ya China yaanza kuwika Afrika, yagawa msaada wa msosi Zimbabwe

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Inaitwa China International Development Cooperation Agency (CIDCA). Imegawa msaada wa chakula kwa Zimbabwe, tusiwachukulie poa Wachina, kumbe wanalisha Africa pia tofauti na kuwa soko la lao la bidhaa na sehemu ya kuvuna rasilimali!
Screenshot_20250219-095424_X.jpg

20250219_095434.png

20250219_095438.png
 
Shamba la bibi, Africa kama mfano wa Malaya, tajiri amejipigia wee mpaka akakinai na kususa juu.. ss Kuna matajiri wengine wadogo walikuwa wanavizia na wao wale kimtindo ss ndio hivyo ss wamepata njia na wao wajipgie kwa hasira
 
Inaitwa China International Development Cooperation Agency (CIDCA). Imegawa msaada wa chakula kwa Zimbabwe, tusiwachukulie poa Wachina, kumbe wanalisha Africa pia tofauti na kuwa soko la lao la bidhaa na sehemu ya kuvuna rasilimali!
View attachment 3241642
View attachment 3241644
View attachment 3241645

Shirika hili nalo lnjaa tu!!

Toka limeanzishwa mwaka 2018, hakuna wanachofanya. Shirika hili limejaa politics , leadership gaps and undestaffing all over.
 
Inaitwa China International Development Cooperation Agency (CIDCA). Imegawa msaada wa chakula kwa Zimbabwe, tusiwachukulie poa Wachina, kumbe wanalisha Africa pia tofauti na kuwa soko la lao la bidhaa na sehemu ya kuvuna rasilimali!
View attachment 3241642
View attachment 3241644
View attachment 3241645
Shekh China mikopo yao ina masharti magumu sana, hao mabwana hawacheki na mtu, refer case ya Uganda. 😂

Inaitwa China International Development Cooperation Agency (CIDCA). Imegawa msaada wa chakula kwa Zimbabwe, tusiwachukulie poa Wachina, kumbe wanalisha Africa pia tofauti na kuwa soko la lao la bidhaa na sehemu ya kuvuna rasilimali!
View attachment 3241642
View attachment 3241644
View attachment 3241645
Zimbabwe kabla Mugabe hajafukuza wazungu ndio ilikuwa inalisha nchi jirani. Leo Rais anakenua akipokea magunia ya sijui mahindi kutoka kwa Wachina.
 
Shamba la bibi, Africa kama mfano wa Malaya, tajiri amejipigia wee mpaka akakinai na kususa juu.. ss Kuna matajiri wengine wadogo walikuwa wanavizia na wao wale kimtindo ss ndio hivyo ss wamepata njia na wao wajipgie kwa hasira
Kwa hiyo we malaya? Hy haya huna?
 
Kwa dhahabu iliyopo Zimbabwe ni muhimu wao kufanya hivyo. Hao wachina wanaimiliki Zambia kwa sasa. Hadi wilayani wanafungua Malls... na ndani ya malls wanauza kila kitu hadi mbogamboga.
Hata wapa si wamekuwa Wamachinga Kariakoo na wengine wanachezesha madubwi ya kamari vijijini.
 
Zimbabwe kabla Mugabe hajafukuza wazungu ndio ilikuwa inalisha nchi jirani. Leo Rais anakenua akipokea magunia ya sijui mahindi kutoka kwa Wachina.
Tatizo alinyang'anya ardhi wazungu akawapa makada machawa na viongozi wa chama chake cha ZANU-PF badala ya wakulima halisi wanaoleweka.
 
Kama ambavyo Iddi Amin alichukua biashara za Wahindi akawapa machawa ambao hawajawahi kuuza hata kandoro.
 
Hapo Watu wanaanza kuchukua ukiranja,mama yenu marekani kachoka kuwa mkubwa sasa ngoma ngumu zinamsaidia.Huko mbele Marekani atakuwa taifa la kawaida kama mataifa ya Ulaya.
 
Back
Top Bottom