Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena aibu kubwa sana.Ni Aibu Kwa Afrika kupewa msaada wa chakula
Wachina wakitoa msaada lazima watangaze. Mwaka juzi kulikuwa na tetemeko Uturuki. Waokoaji wa kwanza kufika walitoka china. Ila kwa bahati mbaya hawakua na bendera, wakasitisha uokoaji hadi waleltewe bendera za kutosha kupeperusha wakati wa uokoaj. Hali hiyo ikawachelewesha kuanza kuokoaji kwa zaid ya masaa 30 wakati waokoaji kutoka nchi nyingine walikuwa wanafika na kuanza shughuli mara moja. Yaani wachina walikuwa wa kwanza kufika lakini wakawa wa mwisho kuanza zoezi kwa sababu ya bendera tu.Inaitwa China International Development Cooperation Agency (CIDCA). Imegawa msaada wa chakula kwa Zimbabwe, tusiwachukulie poa Wachina, kumbe wanalisha Africa pia tofauti na kuwa soko la lao la bidhaa na sehemu ya kuvuna rasilimali!
View attachment 3241642
View attachment 3241644
View attachment 3241645
Tanganyika pekee tu ina ardhi yenye rutuba zaidi ya hekari milioni 40 ambayo unaweza ukalima mazao ya chakula na Biashara, ila mpaka sasa hivi ni 35% ya ardhi hiyo ndio inayotumika kwa ajili ya kilimo.Hivi Mfano sisi watanzania tunashirika kweli la kusaidia misaada Kwa Nchi ambazo zinahali mbaya zaidi yetu?Au sisi tuna Hela za kuhonga magoli Kwa shilingi Milioni kumi tofauti na hapo hakuna kitu
Na bado watu wanataka kumpindua Rais waoInaitwa China International Development Cooperation Agency (CIDCA). Imegawa msaada wa chakula kwa Zimbabwe, tusiwachukulie poa Wachina, kumbe wanalisha Africa pia tofauti na kuwa soko la lao la bidhaa na sehemu ya kuvuna rasilimali!
View attachment 3241642
View attachment 3241644
View attachment 3241645
Hakuna kitu kinaniuzi kama Madubwi kupelekwa kila mahali Tanzania bila.kujali vizazi vyetu.Hata wapa si wamekuwa Wamachinga Kariakoo na wengine wanachezesha madubwi ya kamari vijijini.