Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeyaona tangu zamani walipotujengea reli ya TAZARA na wakati wanatuuzia samaki vibua.Angalau leo umeona mema ya Wachina
Sawawalipotujengea reli ya TAZARA
Yutong za China ni mema yao pia
Bodaboda pia ni mema yao kwa sababu zinapunguza wizi mitaani.
Mkuu ulitaka aende amevaa jeans au tracksuit?
TAZARA
Yutong
Bodaboda pia ni mema yao kwa sababu zinapunguza wizi mitaani.
Waje na kwenye ukimwiShamba la bibi, Africa kama mfano wa Malaya, tajiri amejipigia wee mpaka akakinai na kususa juu.. ss Kuna matajiri wengine wadogo walikuwa wanavizia na wao wale kimtindo ss ndio hivyo ss wamepata njia na wao wajipgie kwa hasira
Waje na kwenye ukimwiNa unakuta chakula kinalimwa hapo hapo Zimbabwe.
Nchi zote za dunia ya tatu zina hali mbaya, hakuna wa kusaidia mwenzake.Hivi Mfano sisi watanzania tunashirika kweli la kusaidia misaada Kwa Nchi ambazo zinahali mbaya zaidi yetu?Au sisi tuna Hela za kuhonga magoli Kwa shilingi Milioni kumi tofauti na hapo hakuna kitu
Waje na kwenye ukimwiTAZARA the longest railway in sub-Saharan Africa
YUTONG bus is the No.1 global sales of electric buses and coaches
China the top exporter of Motorcycles and cycles in the world
That's China for you
Hawa nyani ngoja tuwalisheTatizo alinyang'anya ardhi wazungu akawapa makada machawa na viongozi wa chama chake cha ZANU-PF badala ya wakulima halisi wanaoleweka.
Waje na kwenye ukimwi
Sisi tulambe asali
Tupige maokoto tusepe
Zimbabwe imekuwa ya kuomba msaa wa chakula!!Inaitwa China International Development Cooperation Agency (CIDCA). Imegawa msaada wa chakula kwa Zimbabwe, tusiwachukulie poa Wachina, kumbe wanalisha Africa pia tofauti na kuwa soko la lao la bidhaa na sehemu ya kuvuna rasilimali!
View attachment 3241642
View attachment 3241644
View attachment 3241645
Usisasahau imewajengea pia Burundi ikulu na AU makao makuu yake iliyoweka vyombo vyaka vya kunasa mawasiliano kila kona.TAZARA the longest railway in sub-Saharan Africa
YUTONG bus is the No.1 global sales of electric buses and coaches
China the top exporter of motorcycles and cycles in the world
That's China for you
Tena na skafuRais unakwenda kabisa kupokea msaada wa chakula umevaa kabisa tai na suti.
Hawa viongozi wengine niwakuchapa bakora.
UAE, Oman, Saudia nk kule ni jamgwa kabisa lakini husikii wanapewa msaada wa chakula.
Rais wa nchi kupewa msaada wa Chakula ni kitu cha aibu kinachopaswa kujiuzuru kabisa, yeye kama Rais alikuwa Hajui kuna siku nchi itakumbwa na ukame na idadi ya waathirika (Estimates aka prediction) na wakawa kwenye Hali ya utayari na resources zote.?
Mwenyewe Rais katulia kabisa kwenye pozi anapigwa picha mbele ya chakula cha msaada!! Aibu sana!!! Na kwenye ziara zake ataliweka hilo kwenye hotuba yake kama mafanikio ya nchi kupewa msaada wa chakula na wachina! Wananchi nao watalipuka kwa furaha na kupiga vigelegele na makofi! Viongozi na wananchi wote sawasawa!!Ni Aibu Kwa Afrika kupewa msaada wa chakula
Safii SanaaWatakuja tu kwa sababu kwa sasa wanafanya vizuri sana kwenye pharmaceutical industry