USAID yatangaza kusitisha misaada nje ya nchi

Hahahaha................si unajua Wazee tusivyo na mambo mengi

Hebu njoo nikusimulie mambo yalivyokuwa wakati wa vita vya pili vya Dunia 😜
We mzee bila shaka unajambo lako😆🤣 ujue hizo story nilisimuliwa na walimu darasani miaka ileeeeee
 
Kwa hii tahadhali iliyotolewa kuna wasio na UTU wataanza kuficha dawa ili baadaye wapige pesa endapo itatokea.

Msifanye hivyo tafadhali!
Ndugu zetu, watanzania wenzetu hawawezi kumudu gharama za kununua hizo dawa.
 
Hakutakuwa na ArVs za bure tena huko mbele ya safari

Kuna hatari maambukizi mapya ya HIV kushamiri miongoni mwa Watanzania

Hii itapelekea Serikali kutumia gharama kubwa kuyanunua hayo madawa, otherwise tutarajie ule Ukimwi aliouimba Ferouz kwenye nyimbo ya "Starehe" kurudi tena Mtaani
Wahudumu wa kitengo karibia wanatajirika, si wataanza kubeba kwenye mikoba yao na kuzitunza nyumbani, baada ya kuadimika wanaanza kuziuza sasa
 
Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) limetangaza kusitisha utoaji wa fedha mpya na usambazaji wa fedha chini ya makubaliano ya malengo ya maendeleo (DOAGs) hadi uhakiki wa programu za msaada wa nje zinazofadhiliwa na USAID utakapokamilika.

Wakati mchakato wa kuhakikisha msaada wote wa nje unalingana na ajenda ya sera ya nje ya Rais Donald Trump ukitarajiwa kutolewa ndani ya siku 30, uhakiki huu unatarajiwa kukamilika ndani ya siku 85 kuanzia Januari 24, 2025.

Kutokana na hilo, USAID imewaagiza maofisa wote kusimamisha kazi, mishahara, na safari kwa asasi na taasisi zote zilizopokea misaada kupitia shirika hilo.

Hayo yamebainishwa kupitia barua rasmi kwa maofisa wa mikataba na makubaliano ya USAID na washirika wake, iliyotolewa na shirika hilo Januari 24, 2025.

Barua hiyo, iliyosainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Manunuzi wa USAID, Jami J. Rodgers, imeeleza uamuzi huo unatokana na utekelezaji wa agizo la Rais Trump la kurejelea na kurekebisha misaada ya nje ya Marekani.

Soma kwa undani katika tovuti ya Mwananchi.

View attachment 3215692
Safi saana ushoga byebye
 
Duuuh, tatizo mchina maslahi sana yule.

Ila hii ishu china anaifurahia sana ili aendelee kutushika waafrika mpaka tukabidhi maeneo yote muhimu ya kimapato
 
Wahudumu wa kitengo karibia wanatajirika, si wataanza kubeba kwenye mikoba yao na kuzitunza nyumbani, baada ya kuadimika wanaanza kuziuza sasa
Umesema sahihi Mkuu, hapo wataanza kupiga hela kama wamesimama tu 🙌
 
Shida ndio zitamua njia gani tutumie kujinasua.

Ni wakati nchi za Africa kuungana Katika uchumi unao chumu ilikuleta tija kwa mataifa ya Africa ikiwemo Tanzania 🇹🇿 yangu
 
Safi sana na bakuli mlitupe sasa
Fungeni mikanda kikweli
Wakate mirija yote
 
Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) limetangaza kusitisha utoaji wa fedha mpya na usambazaji wa fedha chini ya makubaliano ya malengo ya maendeleo (DOAGs) hadi uhakiki wa programu za msaada wa nje zinazofadhiliwa na USAID utakapokamilika.

Wakati mchakato wa kuhakikisha msaada wote wa nje unalingana na ajenda ya sera ya nje ya Rais Donald Trump ukitarajiwa kutolewa ndani ya siku 30, uhakiki huu unatarajiwa kukamilika ndani ya siku 85 kuanzia Januari 24, 2025.

Kutokana na hilo, USAID imewaagiza maofisa wote kusimamisha kazi, mishahara, na safari kwa asasi na taasisi zote zilizopokea misaada kupitia shirika hilo.

Hayo yamebainishwa kupitia barua rasmi kwa maofisa wa mikataba na makubaliano ya USAID na washirika wake, iliyotolewa na shirika hilo Januari 24, 2025.

Barua hiyo, iliyosainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Manunuzi wa USAID, Jami J. Rodgers, imeeleza uamuzi huo unatokana na utekelezaji wa agizo la Rais Trump la kurejelea na kurekebisha misaada ya nje ya Marekani.

Soma kwa undani katika tovuti ya Mwananchi.

View attachment 3215692
Kumekuuuuucha!!! Nilisubiri hili jambo kwa muda mrefu kwa ajili ya mapenzi mema na AFRICA

Hii misaada ndo imefanya Africa isione haja ya kuungana na kujipambania
 
Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) limetangaza kusitisha utoaji wa fedha mpya na usambazaji wa fedha chini ya makubaliano ya malengo ya maendeleo (DOAGs) hadi uhakiki wa programu za msaada wa nje zinazofadhiliwa na USAID utakapokamilika.

Wakati mchakato wa kuhakikisha msaada wote wa nje unalingana na ajenda ya sera ya nje ya Rais Donald Trump ukitarajiwa kutolewa ndani ya siku 30, uhakiki huu unatarajiwa kukamilika ndani ya siku 85 kuanzia Januari 24, 2025.

Kutokana na hilo, USAID imewaagiza maofisa wote kusimamisha kazi, mishahara, na safari kwa asasi na taasisi zote zilizopokea misaada kupitia shirika hilo.

Hayo yamebainishwa kupitia barua rasmi kwa maofisa wa mikataba na makubaliano ya USAID na washirika wake, iliyotolewa na shirika hilo Januari 24, 2025.

Barua hiyo, iliyosainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Manunuzi wa USAID, Jami J. Rodgers, imeeleza uamuzi huo unatokana na utekelezaji wa agizo la Rais Trump la kurejelea na kurekebisha misaada ya nje ya Marekani.

Soma kwa undani katika tovuti ya Mwananchi.

View attachment 3215692

Hawajafuta ni kwamba wameelekezwa kuzingatia interest za nje "America first". Vilevile wengi niwape elimu George Bush alibadilisha sheria na kuweka kwamba pesa yote ya visa za balozi za Marekani inabaki nchi husika na kupelekwa USAID maana yake mtu akichukuwa visa ile pesa haiondoki nchi husika

Back
Top Bottom