USAID yatangaza kusitisha misaada nje ya nchi

USAID yatangaza kusitisha misaada nje ya nchi

Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) limetangaza kusitisha utoaji wa fedha mpya na usambazaji wa fedha chini ya makubaliano ya malengo ya maendeleo (DOAGs) hadi uhakiki wa programu za msaada wa nje zinazofadhiliwa na USAID utakapokamilika.

Wakati mchakato wa kuhakikisha msaada wote wa nje unalingana na ajenda ya sera ya nje ya Rais Donald Trump ukitarajiwa kutolewa ndani ya siku 30, uhakiki huu unatarajiwa kukamilika ndani ya siku 85 kuanzia Januari 24, 2025.

Kutokana na hilo, USAID imewaagiza maofisa wote kusimamisha kazi, mishahara, na safari kwa asasi na taasisi zote zilizopokea misaada kupitia shirika hilo.

Hayo yamebainishwa kupitia barua rasmi kwa maofisa wa mikataba na makubaliano ya USAID na washirika wake, iliyotolewa na shirika hilo Januari 24, 2025.

Barua hiyo, iliyosainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Manunuzi wa USAID, Jami J. Rodgers, imeeleza uamuzi huo unatokana na utekelezaji wa agizo la Rais Trump la kurejelea na kurekebisha misaada ya nje ya Marekani.

Soma kwa undani katika tovuti ya Mwananchi.

View attachment 3215692
Ni muda sasa wa kugeukia nchi nyingine zinazonufaika na rasilimali zetu hasa China ili tuone msaada wao kwetu,
 
Serikali iseme tu kama kuna dawa za kutosha kwa miezi yote mpaka msaada utakaporejea tena. Kama vipi india, china, south africa, korea, nordic wapo watatusaidia kwenye mambo ya afya
 
Kuna umuhimu wa Serikali ya Tanzania kutoa statement kuhusu suala hili kwasababu za uwepo wa sintofahamu.

Hata hivyo, naunga mkono uamuzi wa Dictator Trump ingawa kwa shingo upande. Lazima TUAMKE.
Raisi wetu marehemu, Magufuli alishatuachia wasaa

...Change your f mindeset kwa maneno mengine ndio TUAMKE

Again, Serikali inapaswa kutoa tamko, na sio yale matamko ya kichawa. A collective narrative, less nuance talking points kwa viongozi wote.
*****
Nawaasa hizi Wizara mbili, Wizara ya Afya na Wizara ya Jamii> Tuondoleeni sintofahamu hizi.
 
Mbumbuuu umbuu umbuuu nao sasa watashangiliaaa
Upo sahihi.
Yaani mjadala mzima umekuwa kuhusu "Ukimwi" tu wakati misaada hii pia inawagusa wana Democrasia, Wana mazingira Wana Afya etc, Walimu, pamoja na asasi zingine za kiraia ambazo pia huwasaidia watoto, vijana, na wazee. Ila mambumbuumbu ambao kwa uhalisia ni wale waliojitoa data tyu

Wizara ya Jamii na Wizara ya Afya ndizo zitakazoathirika koja kwa moja kama sikosei.
^^^^^^^^^^^
Itoshe hao Ma mbuu mbuumbu ni Internet Trolls tu, hawana faida yeyote ile kwenye jamii. Wapuuzwe
 
Hapa sasa ule ukimwi wa miaka ya 1997 utaanza kuonekana bila chenga.
Wacha Ujinga.
Ukimwi wa 1997 ndio Upi? Watu tuko 2025 ww unaleta za kuleta.

&Franco Don hevu mueleweshe huyu punguani.&

Bro. Tumia akili na sio kukariri talking points za Internet Trolls na ma teroristi.
 
Aisee nimeandika vizuri tu maoni yangu, wewe unaniita punguani.
Sasa nakwambia punguani mama yako na baba yako waliokuzaa. Siku wakati wanabanduana kukuzaa wewe bora wangepiga nyeto tu au angekojolea nyuma pumbaf kabisa.
 
Huna akili ww na huna ulijualo, hence ww ni bard brein yani Punguani.
Unajua kabisa ulikuwa unaleta maneno ya kuudhi. Uendelee kuudhika, Pumbafu mara saba
 
Hivi tunahitaji misaada kweli? Au ni akili zetu finyu tuu
Tuna bandari tegemezi kwa nchi nane
Tuna madini nchi nzima
Tuna vivutio vya utalii kila kona ya nchi
Tuna bahari
Tuna bandari za kutosha
Tuna ardhi ya kutosha
Tuna moto na maZiwa mengi tuu
Tuna gesi asilia
Tuna mafuta nknk
Tulichokosa/tulichonyimwa ni akili
 
Banasema Mabeberu yametushika kumkichwa.
Mm nasema, Ni uamuzi tu, Turudishe sheria ya Kulinda hizo Mali Asili. Tuwafukuze(deport) wale wote waliokuwa wakiiba fedha za forodha, ushuru na Leseni, hata ikiwa banatoka mrogoro, wadepotiwe huko, akiwa na wa India, warudishe huko. We have to start somwhere. Tusitishe na kuReview all Contracts for 90days kama Dictator Trump.
 
Under the ruling party hizi ni ndoto.. Huyu ndio adui mkubwa no moja wa kumalizana naye kwanza.. Misa ya kwanza
 
Under the ruling party hizi ni ndoto.. Huyu ndio adui mkubwa no moja wa kumalizana naye kwanza.. Misa ya kwanza
As a Lissu backer, I agree. Lakini nina wasiwasi na Batanzani wenziwangu just because wengi banasema Lissu has Dictatorial tendencies just as was Magufuli.

But As a Tanzanian First, we made a big mistake to challenge the late Magufulis Policies on Natural Resources. And this is not only coming from me, hata MAGA niliokutana nao D.C washington walikuwa wakitushangaa.
 
Vipi kuhusu ARV's aka Shudu?
Aloo so poa etii.
Vp kuhusu ARV's aka Njugumawe?

Sio poa kabisa kuwasengenya Batanzania wenziwako.
You can do better.
Umeona ARV ndicho kipo kwenye Mada?

Naona ww ni Platinum member ikiwa na maana unachangia JF. CHANGIA ARV bandugu.
 
Back
Top Bottom