We mzee bila shaka unajambo lakoππ€£ ujue hizo story nilisimuliwa na walimu darasani miaka ileeeeeeHahahaha................si unajua Wazee tusivyo na mambo mengi
Hebu njoo nikusimulie mambo yalivyokuwa wakati wa vita vya pili vya Dunia π
Nipo mgongoni kwakembona sikuoni mkuu mimi pia nakaa kwa mama yangu
We mzee bila shaka unajambo lakoππ€£ ujue hizo story nilisimuliwa na walimu darasani miaka ileeeeee
Wahudumu wa kitengo karibia wanatajirika, si wataanza kubeba kwenye mikoba yao na kuzitunza nyumbani, baada ya kuadimika wanaanza kuziuza sasaHakutakuwa na ArVs za bure tena huko mbele ya safari
Kuna hatari maambukizi mapya ya HIV kushamiri miongoni mwa Watanzania
Hii itapelekea Serikali kutumia gharama kubwa kuyanunua hayo madawa, otherwise tutarajie ule Ukimwi aliouimba Ferouz kwenye nyimbo ya "Starehe" kurudi tena Mtaani
Safi saana ushoga byebyeShirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) limetangaza kusitisha utoaji wa fedha mpya na usambazaji wa fedha chini ya makubaliano ya malengo ya maendeleo (DOAGs) hadi uhakiki wa programu za msaada wa nje zinazofadhiliwa na USAID utakapokamilika.
Wakati mchakato wa kuhakikisha msaada wote wa nje unalingana na ajenda ya sera ya nje ya Rais Donald Trump ukitarajiwa kutolewa ndani ya siku 30, uhakiki huu unatarajiwa kukamilika ndani ya siku 85 kuanzia Januari 24, 2025.
Kutokana na hilo, USAID imewaagiza maofisa wote kusimamisha kazi, mishahara, na safari kwa asasi na taasisi zote zilizopokea misaada kupitia shirika hilo.
Hayo yamebainishwa kupitia barua rasmi kwa maofisa wa mikataba na makubaliano ya USAID na washirika wake, iliyotolewa na shirika hilo Januari 24, 2025.
Barua hiyo, iliyosainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Manunuzi wa USAID, Jami J. Rodgers, imeeleza uamuzi huo unatokana na utekelezaji wa agizo la Rais Trump la kurejelea na kurekebisha misaada ya nje ya Marekani.
Soma kwa undani katika tovuti ya Mwananchi.
View attachment 3215692
Sio kwa wazee wasasaKuwa na imani na Wazee π€
Umesema sahihi Mkuu, hapo wataanza kupiga hela kama wamesimama tu πWahudumu wa kitengo karibia wanatajirika, si wataanza kubeba kwenye mikoba yao na kuzitunza nyumbani, baada ya kuadimika wanaanza kuziuza sasa
We niletee Kiko tu π€Sio kwa wazee wasasa
Kabisa mkuu,tayar mtu kapata business idea.Wahudumu wa kitengo karibia wanatajirika, si wataanza kubeba kwenye mikoba yao na kuzitunza nyumbani, baada ya kuadimika wanaanza kuziuza sasa
pia nipo hapa mkuu sikuoniNipo mgongoni kwake
nshaleta nmekurushia mlangon apoWe niletee Kiko tu π€
Kumekuuuuucha!!! Nilisubiri hili jambo kwa muda mrefu kwa ajili ya mapenzi mema na AFRICAShirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) limetangaza kusitisha utoaji wa fedha mpya na usambazaji wa fedha chini ya makubaliano ya malengo ya maendeleo (DOAGs) hadi uhakiki wa programu za msaada wa nje zinazofadhiliwa na USAID utakapokamilika.
Wakati mchakato wa kuhakikisha msaada wote wa nje unalingana na ajenda ya sera ya nje ya Rais Donald Trump ukitarajiwa kutolewa ndani ya siku 30, uhakiki huu unatarajiwa kukamilika ndani ya siku 85 kuanzia Januari 24, 2025.
Kutokana na hilo, USAID imewaagiza maofisa wote kusimamisha kazi, mishahara, na safari kwa asasi na taasisi zote zilizopokea misaada kupitia shirika hilo.
Hayo yamebainishwa kupitia barua rasmi kwa maofisa wa mikataba na makubaliano ya USAID na washirika wake, iliyotolewa na shirika hilo Januari 24, 2025.
Barua hiyo, iliyosainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Manunuzi wa USAID, Jami J. Rodgers, imeeleza uamuzi huo unatokana na utekelezaji wa agizo la Rais Trump la kurejelea na kurekebisha misaada ya nje ya Marekani.
Soma kwa undani katika tovuti ya Mwananchi.
View attachment 3215692
Gonga mlango unileteenshaleta nmekurushia mlangon apo
π ....Masikhara hayo Mkuu!Naomba kwa hiari kabisa niwe mpuuzi number moja maana pesa ya kununulia ma VX ya billions tunayo lakini ya ARVs hatuna.. We must be mentally castrated
Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) limetangaza kusitisha utoaji wa fedha mpya na usambazaji wa fedha chini ya makubaliano ya malengo ya maendeleo (DOAGs) hadi uhakiki wa programu za msaada wa nje zinazofadhiliwa na USAID utakapokamilika.