FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kumbe akili unazo, sawa. Tuendelee..Nafikiri kutokana na ile chronic ya hayo madawa
Wanasema unywaji wa dawa mara Kwa mara hupelekea Ini kushindwa kuchuja sumu hivyo kujikuta zinafeli
Kwani na sisi tuna tofauti gani na hao Zambia wakati tuna rasilimali hadi nyingine tunawapa Wageni waziendesheSasa ukikaa kwa kutulia unaona kweli Zambia ni ya kuwa na madeni lukuki wakati wana shaba kama utitiri?
Post no.35Kwann😊
Ya Tanzania tumeyaeleza hadi kifu yetu lakini leo ni birthday.Vijana machawa/wapumbavu wamekata keki na kulishana kama walemavu wa akili badala ya kufikiria mustakabali wa nchi.Kwani na sisi tuna tofauti gani na hao Zambia wakati tuna rasilimali hadi nyingine tunawapa Wageni waziendeshe
Kusema kweli hapa tulipofikia, tunahitaji Viongozi wenye maono chanya ya kutupeleka mbele
Vinginevyo tutaendelea kubaki hapa hapa miaka na miaka huku rasilimali zikiendelea kuisha Kwa kuwapa Wageni
Endelea kufafanuaKumbe akili unazo, sawa. Tuendelee..
Unafahamu kwamba ARV’s haziongezi kinga ya mwili wa kuua virusi vya Ukimwi? Unajua kwamba mwili unauwezo kupandishankinga zake yenyewe? Unajua nini mwili kinahitaji ili kupandisha kinga ya mwili? Nikwambie?
Huu uchawa umeanzia awamu ya 5 umeendelea hadi sasaYa Tanzania tumeyaeleza hadi kifu yetu lakini leo ni birthday.Vijana machawa/wapumbavu wamekata keki na kulishana kama walemavu wa akili badala ya kufikiria mustakabali wa nchi.
Machawa hawana tofauti na panyaroad/redscorpions wa kileo.Ni hatari kwa mustakabali wa nchi.Huu uchawa umeanzia awamu ya 5 umeendelea hadi sasa
Japo awamu hii ndiyo umezidi zaidi
Kwakuwa machawa wananufaika, watasababisha Hata akija Rais mwingine basi machawa waendelee kuwepo 🙌
Uzuri mie hizo dawa sijawahi kutumia miaka 19 nadunda town nacheza na mbususu tuuBaaba ana gubu huyo..sasa kina mzabzab watapata wapi dawa zao jamani...
Hii ni hatari Watu wengi wanaenda kuwa Majobless muda si mrefu.Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) limetangaza kusitisha utoaji wa fedha mpya na usambazaji wa fedha chini ya makubaliano ya malengo ya maendeleo (DOAGs) hadi uhakiki wa programu za msaada wa nje zinazofadhiliwa na USAID utakapokamilika.
Wakati mchakato wa kuhakikisha msaada wote wa nje unalingana na ajenda ya sera ya nje ya Rais Donald Trump ukitarajiwa kutolewa ndani ya siku 30, uhakiki huu unatarajiwa kukamilika ndani ya siku 85 kuanzia Januari 24, 2025.
Kutokana na hilo, USAID imewaagiza maofisa wote kusimamisha kazi, mishahara, na safari kwa asasi na taasisi zote zilizopokea misaada kupitia shirika hilo.
Hayo yamebainishwa kupitia barua rasmi kwa maofisa wa mikataba na makubaliano ya USAID na washirika wake, iliyotolewa na shirika hilo Januari 24, 2025.
Barua hiyo, iliyosainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Manunuzi wa USAID, Jami J. Rodgers, imeeleza uamuzi huo unatokana na utekelezaji wa agizo la Rais Trump la kurejelea na kurekebisha misaada ya nje ya Marekani.
Soma kwa undani katika tovuti ya Mwananchi.
View attachment 3215692
Na mzunguko wa fedha za mabeberu kupitia NGOs ndiyo "baba Jane bye bye"!Shida mahangaiko!Hii ni hatari Watu wengi wanaenda kuwa Majobless muda si mrefu.
Baraka zako zimezidi aisee!Mungu Wabariki Wazungu
Ujamaa na Kujitegemea ulikuwa unaishi kwenye nyimbo majeshini na kwenye shule za msingi tu zikiwaandaa vijana waje kuwa masikini jeuri.Kuna haja turudie zile Siasa enzi za Mwalimu
"Ujamaa na kujitegemea"
Vinginevyo tutakopa ili kufidia bajeti za Serikali hadi Nchi ipigwe mnada 🙌
Upo vizuri, sasa tuendelee..Endelea kufafanua
Ila mwili unaweza kuongeza kinga zake Kwa kufanya yafuatayo;
✓Kula Mlo kamili ikiwemo matunda na mboga mboga
✓Kufanya mazoezi
✓Kupata muda wa kupumzika
N.k
Huyo ni msikilizaji wa DW wenyewe wanaitaga Dochivele.ulimpigiaje debe kamala huku kwetu ilhali wanaochagua rais wao ni wamarekani wenyewe?
Duh!Na wanakuwa wakali kabisa?Huyo ni msikilizaji wa DW wenyewe wanaitaga Dochivele.
Ndio wale wanatumaga SMS wakiionya Serikali ya Marekani.