USAID yatangaza kusitisha misaada nje ya nchi

USAID yatangaza kusitisha misaada nje ya nchi

Nafikiri kutokana na ile chronic ya hayo madawa

Wanasema unywaji wa dawa mara Kwa mara hupelekea Ini kushindwa kuchuja sumu hivyo kujikuta zinafeli
Kumbe akili unazo, sawa. Tuendelee..

Unafahamu kwamba ARV’s haziongezi kinga ya mwili wala kuua virusi vya Ukimwi? Unajua kwamba mwili unauwezo wa kupandisha kinga zake yenyewe? Unajua nini mwili kinahitaji ili kupandisha kinga ya mwili? Nikwambie?
 
Sasa ukikaa kwa kutulia unaona kweli Zambia ni ya kuwa na madeni lukuki wakati wana shaba kama utitiri?
Kwani na sisi tuna tofauti gani na hao Zambia wakati tuna rasilimali hadi nyingine tunawapa Wageni waziendeshe

Kusema kweli hapa tulipofikia, tunahitaji Viongozi wenye maono chanya ya kutupeleka mbele

Vinginevyo tutaendelea kubaki hapa hapa miaka na miaka huku rasilimali zikiendelea kuisha Kwa kuwapa Wageni
 
Kwani na sisi tuna tofauti gani na hao Zambia wakati tuna rasilimali hadi nyingine tunawapa Wageni waziendeshe

Kusema kweli hapa tulipofikia, tunahitaji Viongozi wenye maono chanya ya kutupeleka mbele

Vinginevyo tutaendelea kubaki hapa hapa miaka na miaka huku rasilimali zikiendelea kuisha Kwa kuwapa Wageni
Ya Tanzania tumeyaeleza hadi kifu yetu lakini leo ni birthday.Vijana machawa/wapumbavu wamekata keki na kulishana kama walemavu wa akili badala ya kufikiria mustakabali wa nchi.
 
Kumbe akili unazo, sawa. Tuendelee..

Unafahamu kwamba ARV’s haziongezi kinga ya mwili wa kuua virusi vya Ukimwi? Unajua kwamba mwili unauwezo kupandishankinga zake yenyewe? Unajua nini mwili kinahitaji ili kupandisha kinga ya mwili? Nikwambie?
Endelea kufafanua

Ila mwili unaweza kuongeza kinga zake Kwa kufanya yafuatayo;

✓Kula Mlo kamili ikiwemo matunda na mboga mboga
✓Kufanya mazoezi
✓Kupata muda wa kupumzika
N.k
 
Ya Tanzania tumeyaeleza hadi kifu yetu lakini leo ni birthday.Vijana machawa/wapumbavu wamekata keki na kulishana kama walemavu wa akili badala ya kufikiria mustakabali wa nchi.
Huu uchawa umeanzia awamu ya 5 umeendelea hadi sasa

Japo awamu hii ndiyo umezidi zaidi

Kwakuwa machawa wananufaika, watasababisha Hata akija Rais mwingine basi machawa waendelee kuwepo 🙌
 
Huu uchawa umeanzia awamu ya 5 umeendelea hadi sasa

Japo awamu hii ndiyo umezidi zaidi

Kwakuwa machawa wananufaika, watasababisha Hata akija Rais mwingine basi machawa waendelee kuwepo 🙌
Machawa hawana tofauti na panyaroad/redscorpions wa kileo.Ni hatari kwa mustakabali wa nchi.
 
Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) limetangaza kusitisha utoaji wa fedha mpya na usambazaji wa fedha chini ya makubaliano ya malengo ya maendeleo (DOAGs) hadi uhakiki wa programu za msaada wa nje zinazofadhiliwa na USAID utakapokamilika.

Wakati mchakato wa kuhakikisha msaada wote wa nje unalingana na ajenda ya sera ya nje ya Rais Donald Trump ukitarajiwa kutolewa ndani ya siku 30, uhakiki huu unatarajiwa kukamilika ndani ya siku 85 kuanzia Januari 24, 2025.

Kutokana na hilo, USAID imewaagiza maofisa wote kusimamisha kazi, mishahara, na safari kwa asasi na taasisi zote zilizopokea misaada kupitia shirika hilo.

Hayo yamebainishwa kupitia barua rasmi kwa maofisa wa mikataba na makubaliano ya USAID na washirika wake, iliyotolewa na shirika hilo Januari 24, 2025.

Barua hiyo, iliyosainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Manunuzi wa USAID, Jami J. Rodgers, imeeleza uamuzi huo unatokana na utekelezaji wa agizo la Rais Trump la kurejelea na kurekebisha misaada ya nje ya Marekani.

Soma kwa undani katika tovuti ya Mwananchi.

View attachment 3215692
Hii ni hatari Watu wengi wanaenda kuwa Majobless muda si mrefu.
 
Kuna haja turudie zile Siasa enzi za Mwalimu

"Ujamaa na kujitegemea"

Vinginevyo tutakopa ili kufidia bajeti za Serikali hadi Nchi ipigwe mnada 🙌
Ujamaa na Kujitegemea ulikuwa unaishi kwenye nyimbo majeshini na kwenye shule za msingi tu zikiwaandaa vijana waje kuwa masikini jeuri.

Kiuhalisia USAID na SIDA wapo tangu 1961.
 
Endelea kufafanua

Ila mwili unaweza kuongeza kinga zake Kwa kufanya yafuatayo;

✓Kula Mlo kamili ikiwemo matunda na mboga mboga
✓Kufanya mazoezi
✓Kupata muda wa kupumzika
N.k
Upo vizuri, sasa tuendelee..

- Unajua kwamba makampuni ya dawa hupata faida kwa watu kuendelea kuumwa na sio kupona? Na je, unadhani wanakupa ARVs ili upone kisha wakose mapato au wanakupa ili uendelee kusurvive (usife) ila uendelee kuumwa na kuwapa mapato? Kumbuka, misaada haitolewi na makampuni ya dawa , bali marekani huzinunua kisha kutoa misaada.

- Unajuankwammba ARVs hufanya kazi kwa kufubaza Virusi vya Ukimwi? Na je, kama dawa ya kufubaza inawezeka, kwa kiaka zaidi ya 40, dawa ya kuuwa kabisa hivyo virusi imeshindikanaje? Jibu ndio hilo kwenye point ya kwanza hapo juu..

Sasa je, Figo na Ini hazina haaki ya kusherehekea uamuzi huu?

Makampuni ya dawa nchini na nje ya nchi hayana haki ya kukasirika juu ya uamuzi huu kiasi sasa wanamuhonga Anna Tibaijuka ili awapigie kampeni? Hadi anadanganya kwamba ARVs zinaongeza kinga, wakati si kweli..
 
Haya mambo ndio yanapaswa kuamsha hisia za WaAfrica na kuanza wimbi la mapinduzi kuondoa viongozi wajinga wanaowaza kutawala na kutapanya mali bila kuwaza maslahi makubwa ya wengi.

Leo USA anaweka mambo yake sawa in 3 month huku Africa tayari tunaanza mashaka.
 
Back
Top Bottom