USAID yatangaza kusitisha misaada nje ya nchi

Net was business from someone,dawa ilikua kuua vyanzo vya mazalia ya mbu na wadudu wanaotambaa,mengine yote ni upigaji tu
Hiyo ya Net niliipata kutoka Kwa mtu wa Jikoni kabisa

Shida ya Viongozi wetu hawapo kwaajili ya kusaidia raia wao bali maslahi yao binafsi
 
USAID ilishakuwa ya kihuni watu wanatoa project grants kwa kujuana sio kuzingatia vigezo.
 
Mkuu,
Bila ARV hata ule kama faru lazima kinga ishuke, kwani zamani walikuwa hawali vizuri?

Itokee tu hizi dawa ziadimike kwa miaka mitano, utashangaa yatakayoikuta dunia ya ulimwengu wa tatu.
Tutakuwa na waumini wengi sana wenye imani thabiti kwa madhehebu tofautitofauti.
 
Kina haja ya kuachana na biashara ya kula vya nje, hatari inayokuja ni kubwa.
Ni kweli

Kuna vyakula vingi fake vinaliwa hapa DSM

Binafsi nimeamua kuagiza Mchele wa kula kutoka Mbeya na Morogoro baada ya Mwezi Uliopita wife kununua Mchele ambao baada ya kuupakua na kubaki ukoko, ukiumwagia Maji huo ukoko unajaza sefulia Kwa wingi

Nimeona hapa tutaanza kulishwa Mchele wa plastiki kisha nguvu za kiume zituishie tusingizie Uzee πŸ™Œ
 
Ujamaa na Kujitegemea ulikuwa unaishi kwenye nyimbo majeshini na kwenye shule za msingi tu zikiwaandaa vijana waje kuwa masikini jeuri.

Kiuhalisia USAID na SIDA wapo tangu 1961.
Hoja yangu tuanze kujenga mentality ya Kujitegemea

Haiwezekani una rasilimali lukuki lakini Ujenzi wa matundu ya choo tu tunaomba msaada Kwa Wahisani
 
Oyi Oyiiiiiii Massive Unemployment once again..... Dah
 
Safi sana,wakati tunampigia debe Kamala,mkasema mwanamke hafai kuongoza kabisa,sasa jiandaeni kuanguka kwa H..IV na kufa kama kuku wa kideri
Sasa Mimi umenijumuisha hapo nina kosa gani πŸ˜‚πŸ˜­
 
Kwa uzi unaweza kumwelewa Trump kwanini kachukua maamuzi haya
 
Tupunguze bajeti ya ma VX new model tunajiweza mbona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…