USAID yatangaza kusitisha misaada nje ya nchi

USAID yatangaza kusitisha misaada nje ya nchi

Kikwete alisema wazungu wanatoa mahela ya bure ni kujitahidi kuyachota tu.Naamini saa hizi anatuandalia neno la kujizatiti na dhahma ijayo ya kukosa mahela ya bure.Hata hivyo,huwa tunawadharau sana USA na kuwaita ni mashoga.Ni muda muafaka tujikite kubanana na China na Urusi.
USA hawana msaada wowote wa maana kwetu zaidi ya condom,arv,vilainishi,vidhibiti uzazi na kujenga uwezo,hatushindwi nunua arv
 
For sure...kuna vipaumbele vingi sana kama Taifa ila kawekeza kwny mipira na wasanii..tuna balaa zito...
Michezo na burudani ni kiwanda kikubwa,kinaajiri wengi,ni sharti uki-stimulate,hebu changanua hicho kiwanda marekani na uingereza uone kimeajiri wangapi na kinaingiza bei gani
 
Hoja yangu tuanze kujenga mentality ya Kujitegemea

Haiwezekani una rasilimali lukuki lakini Ujenzi wa matundu ya choo tu tunaomba msaada Kwa Wahisani
Tumekuwa mipumbavu sana. Mfumo wa kisiasa wa kurithishana na kula kwa zamu usiozingatia uhitaji wa nchi na wananchi wake
 
Naomba kwa hiari kabisa niwe mpuuzi number moja maana pesa ya kununulia ma VX ya billions tunayo lakini ya ARVs hatuna.. We must be mentally castrated
Serikali hununua ARV bana,halafu mkoa kama tabora unataka mkuu wa mkoa atembelee harrier tako la nyani?
 
Safi sana,wakati tunampigia debe Kamala,mkasema mwanamke hafai kuongoza kabisa,sasa jiandaeni kuanguka kwa H..IV na kufa kama kuku wa kideri
Trump hana mpango kunyonya nchi masikini na hio misaada ndio ilikua mitego yenu kunyonywa ,sasa ndio muda muafaka wa kuanza kujitegemea maana hakuna tena masharti
 
Back
Top Bottom