Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

Hivi mtu akiingia na degree mshahara unacheza kwenye ngapi
 
Jamaa wa uhamiaji KANAMBIA BARA wamechukua Watu 300 na nzanzibar 200 na majina yanatoka Leo saa 6
hawa hawatabiriki wala hawaelewek kila siku kesho mara next week
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…