Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

Hivi kuna kuwa mambo ya majina ya reserve au nafasi za reserve incase??
Kati ya hao kuna ambao hawatareport… kuna wengine watatoroka wengine unfit wengine kufukuzwa…. So lazma watakuwa na majina reserve cha msingi kuendelea kuomba Mungu kama umefanya Interview naamini lolote linaweza tokea… Hakikisha tu simu yako ipo hewan mda wowote .. Hv vitu u never know
 
Tupe madinii
Tupe madiniii mkuu
Wakuu mm n mgeni hapa JF na nimejisajili kwa jina la kubuni lkn email niliyotia ni yngu nnayoitumia, Nataka kueleza changamoto na madudu niliyoyashuhudia kwenye usaili wa uhamiaji Upande wa Zanzibar hasa kwa “Wasio Wazanzibar” Na wasio na mbanga! Hvyo naomba kujua km taarifa yangu haitoniletea matatzo ama watu hawatonijua mana bado naishi huku kwny ubagu**
 
Funguka mkuu
 
Funguk mkuu hakun MTU anawez kuona email yako. Maybe JF wenyew
 
Back
Top Bottom