Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

Umemuelezea vizurii sanaa Mkuuu🙌
 
Mbona kimya
Pamoja na michakato mingine ya kiusaili kuanzia ngazi za wilaya mpaka Mkoa Kwa Magereza hao ni wale fm4 wasio na fani Uje ule usaili wa Makao makuu walio na fani ngazi zote hizo zikamilike....Kuna suala kubwa pia la kibajeti Lazima fedha ya kuratibu mafunzo itengwe Serikali iidhinishe fedha zitoke wizarani ziende Kwenye Jeshi husika(MT) nafikiri pia unaelewa process ya Pesa ya kiserikali...Hao kuruta huko mafunzoni lazima wale,Wapate Kombati za mafunzo,,na vitu vingine So kwa kukupitisha hapo tu utaona kwamba sio suala la kuamka tu ni Process lazima zifanyike...Kuigharamikia Kozi..KUNA suala la posho pia kwa kuruta.mambo hayo lazima yakamilike ndo taratibu zingine ziendelee
 
Kuna depo imemaliza Leo CCP wakuu mmeona?? ilienda 2023 March
 
Pia Magereza hawanaga sjui watakaa wiki mbili baada ya deadline sjui nn wao huwa wanapoteaga km hv, Unaweza kuta ngoma ikafika May hii mpk watu waksahau hasa
 
Pia Magereza hawanaga sjui watakaa wiki mbili baada ya deadline sjui nn wao huwa wanapoteaga km hv, Unaweza kuta ngoma ikafika May hii mpk watu waksahau hasa
Yeaap ndo zao nafikiri ni mwaka juzi Kuna walipiga interview May kwenda mafunzo ikawa JULY
 
Hapo sina ronja mkuu japo naelewa wanaeza kurudi....afu sema hua wana ile ya kuweka mwaka ulomaliza fm4 au 6 kwenye vigezo hua inakata kinoma
Ukiwa na mbuyu wa uhakika hayo yanabaki kuwa maandishi tu
 
Hawa wa kumi na Dec Wana weza kuapa Kwa pamoja
Sio kwamba wanaweza ndo kundi moja hiloo wanapiga kozi pamoja walioenda mwez wa 10 walisubiri hawa waloenda Dec ndo kozi ilianza hapo ndo kozi moja hio hadi sasa.
 
Sio kwamba wanaweza ndo kundi moja hiloo wanapiga kozi pamoja walioenda mwez wa 10 walisubiri hawa waloenda Dec ndo kozi ilianza hapo ndo kozi moja hio hadi sasa.
Mmesikia lonja la uhamiaji wakuu “Haijaisha mpk iishe wapambanaji”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…