Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

MT sio km UT mkuu, wkt UT wao wanatoa majina usaili unafanyika pamoja kw wte km ww ulvyofanya lkn mkatengwa f4,6,Deploma na Degree lkn cku ya usaili mlifanya moja! Magereza wao wanaanza chini huko kw wilayani thn mikoani kw vjana wa f4 na wasio na fani Kisha mzgo utahamia kw f6,deploma na degree na wenye fani mbali2 hawa wataitwa na mwshowe majina yatatoka! Kw kurahisishia ni km walivyofanya ZT Mwaka huu. Pia MT ni kawaida yao kukaa kmya muda mrefu hv tofauti na UT, Unajumbuka klchotokea Mwaka Jana ama hufuatilii haya mambo mkuu?
Umemuelezea vizurii sanaa Mkuuu🙌
 
Mbona kimya
Pamoja na michakato mingine ya kiusaili kuanzia ngazi za wilaya mpaka Mkoa Kwa Magereza hao ni wale fm4 wasio na fani Uje ule usaili wa Makao makuu walio na fani ngazi zote hizo zikamilike....Kuna suala kubwa pia la kibajeti Lazima fedha ya kuratibu mafunzo itengwe Serikali iidhinishe fedha zitoke wizarani ziende Kwenye Jeshi husika(MT) nafikiri pia unaelewa process ya Pesa ya kiserikali...Hao kuruta huko mafunzoni lazima wale,Wapate Kombati za mafunzo,,na vitu vingine So kwa kukupitisha hapo tu utaona kwamba sio suala la kuamka tu ni Process lazima zifanyike...Kuigharamikia Kozi..KUNA suala la posho pia kwa kuruta.mambo hayo lazima yakamilike ndo taratibu zingine ziendelee
 
Kuna depo imemaliza Leo CCP wakuu mmeona?? ilienda 2023 March
 
Pia Magereza hawanaga sjui watakaa wiki mbili baada ya deadline sjui nn wao huwa wanapoteaga km hv, Unaweza kuta ngoma ikafika May hii mpk watu waksahau hasa
 
Yeaap ndo zao nafikiri ni mwaka juzi Kuna walipiga interview May kwenda mafunzo ikawa JULY
 
Hawa wa kumi na Dec Wana weza kuapa Kwa pamoja
Sio kwamba wanaweza ndo kundi moja hiloo wanapiga kozi pamoja walioenda mwez wa 10 walisubiri hawa waloenda Dec ndo kozi ilianza hapo ndo kozi moja hio hadi sasa.
 
Mmesikia lonja la uhamiaji wakuu “Haijaisha mpk iishe wapambanaji”
 
Back
Top Bottom