Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Ijue nchi Yako vizuri......ie national symbolsWanaojua Maswali ya usaili au vya kupitia kabla ya usaili uhamiaji naomba watujuze tuanze maandalizi ili Mungu akijalia majina yetu yakatoka tujue vya kusoma. Thanks in advance.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app