Na ndio mana sisi wengine tunaunga mkono usaili, ila hawa baadhi ya ndugu zetu hawatuelewi kabisa wanatuona hatuna akiliKo kwa ule mfumo wa zoa zoa na bahati nasibu ingewezekana huyo mwamba alofunga dimba angepata placement half huyo Janabi mtoto alopata 98 angekosa placement?
Kwakweli PSRS wametutoa gizani,Mwakani waboreshe zaidi waongeze na practical😂😂😂
Kibaha-Pwani ukoBundikani sekondari iko wapi na njia ya kufika huko
nikitaka kufika hapo shuleni napita wapi na usafiri gani?Kibaha-Pwani uko
Noma sana...Huyo mwamba wa 98 apewe hata unaibu waziri 🤯🤯😅
Kama unatokea mbezi panda magari ya kibaha mailimoja! Ukifika mailimoja ulizia utaelekezwa kama sijakoseanikitaka kufika hapo shuleni napita wapi na usafiri gani?
haitoi location kwamba unawea kufika pale using what is providedTumia Google map
thanks a lot!Kama unatokea mbezi panda magari ya kibaha mailimoja! Ukifika mailimoja ulizia utaelekezwa kama sijakosea
selected 4,000 of which 1239 required!Ingia kwenye tovuti ya ajira utumishi kuona matokeo yako: Public Service Recruitment Secretariat | PSRS . Pia unaweza kupakuwa pdf attachment hapo chini kuona matokeo.
Ur welcomethanks a lot!
Ndio maana tunasema wakati wa Mungu ni wakati sahihi! Jamaa kaponea kwenye tundu la sindano kama ningekuwa yeye ninge mshukuru Mungu sana ninge anza mazoezi na kitabu kwaajili ya oral kwa nguvu zote…Huyu jamaa ndiye anatakiwa kutu prove wrong aisee…….Huyo wa mwisho aliyepata 58% ambaye n selected, sipati picha presha + furaha aliyonayo
Kuna watu walikuja hapa kulalamika hawataki kufanyiwa usailiKo kwa ule mfumo wa zoa zoa na bahati nasibu ingewezekana huyo mwamba alofunga dimba angepata placement half huyo Janabi mtoto alopata 98 angekosa placement?
Kwakweli PSRS wametutoa gizani,Mwakani waboreshe zaidi waongeze na practical😂😂😂
Kweli kabisa mkuu, huu ndo muda wake kurudi upya kambini na kuandaa silaha zake upya kwa ajili ya vita ya mwisho.Ndio maana tunasema wakati wa Mungu ni wakati sahihi! Jamaa kaponea kwenye tundu la sindano kama ningekuwa yeye ninge mshukuru Mungu sana ninge anza mazoezi na kitabu kwaajili ya oral kwa nguvu zote…Huyu jamaa ndiye anatakiwa kutu prove wrong aisee…….
AsanteWaliokuwa wanapinga Interview, sasa wataelewa vizuri maana ya Interview
hakuna anayepinga interview, usipotoshe Mwifwa!Waliokuwa wanapinga Interview, sasa wataelewa vizuri maana ya Interview
Ww umeomba kazi ya ualimu au afya?h
hakuna anayepinga interview, usipotoshe Mwifwa!
I am a senior citizen and by that time we were very few university graduates, therefore at some moments, more than 10 or so companies were vying/"fighting" for you to be employed by them!Ww umeomba kazi ya ualimu au afya?