Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
Hapo ni kuangalia kipaumbele chake, Ana options kadhaaSasa kama ni MD 2 akipata nafasi ya kazi ataacha kusoma kwanza?
Hv muajiriwa mpya akitaka kujiendeleza anatakiwa akae muda gn ndo aende chuo?Hapo ni kuangalia kipaumbele chake, Ana options kadhaa
1. Anaweza ku-postpone mwaka kisha anafanya kazi ili kupata barua ya kuthibitishwa kazini, kisha anaomba ruhusa ya kwenda kusoma, akinyimwa na boss wake kwa sababu ya roho mbaya anaweza kuomba ruhusa isiyo ya malipo.
2. Anaweza kuomba uhamisho na kuhamishiwa kituo cha kazi jirani na chuo anachosomea na kisha kumwomba mwajiri wake awe anaingia shift za weekend na usiku na kumlegezea majukumu ili amalizie elimu yake.
Basi apambane apate nafasi then ataamua mwenyeweHapo ni kuangalia kipaumbele chake, Ana options kadhaa
1. Anaweza ku-postpone mwaka kisha anafanya kazi ili kupata barua ya kuthibitishwa kazini, kisha anaomba ruhusa ya kwenda kusoma, akinyimwa na boss wake kwa sababu ya roho mbaya anaweza kuomba ruhusa isiyo ya malipo.
2. Anaweza kuomba uhamisho na kuhamishiwa kituo cha kazi jirani na chuo anachosomea na kisha kumwomba mwajiri wake awe anaingia shift za weekend na usiku na kumlegezea majukumu ili amalizie elimu yake.
Confirmation letter kwanza. Ambapo inatakiwa utumikie ajira yako kwa mwaka mmoja. Baada ya hapo ni suala la wewe na mwajiri wako. Mwajiri akiona unachoenda kusomea kitaongeza tija kazini anakuruhusu chapHv muajiriwa mpya akitaka kujiendeleza anatakiwa akae muda gn ndo aende chuo?
We unashangaa 20 Kuna mtu ana 4 mkuu aibu sana.Jitu linapataje 20?
hivi kwa mfano kwenye kituo chenu mnatakiwa mfanye oral interview mpo 200 au 300, hiyo oral interview kwa idadi hiyo ya watahiniwa itafanyika kwa muundo gani?
wazoefu ebu mtujuze huwa inafanyikaje oral interview yenye idadi hiyo kubwa ya watu
ukiangalia tu matokeo yanayotolewa utagundua kuwa bado idadi ya watu ni kubwa kwa wanaotakiwa kuendelea na oral interview? sasa swali langu ni kuwa hiyo oral itafanyika kwa muundo upi?Nafikiri lengo kuu la kuwasambaza watu hadi mikoa ambayo hawajaomba ni kupunguza mrundikano wa watu wengi sehemu moja kwa hiyo tunategemea kila mkoa utakua na watu wachache kulingana na idadi ya watu wanaohitajika. Mfano, mkoa unaohitaji watu 9 wa kada ya maabara, wataita oral watu wasiozidi 30
Umepata zako 80 halafu NOT SELECTED sawa na aliyepata 22 [emoji2][emoji2][emoji2]MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA MTEKNOLOJIA DAWA DARAJA II (TECHNOLOGIST PHARMACY II) NA MTEKNOLOJIA MAABARA II - ( HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST II) MDAs & LGAs ULIOFANYIKA TAREHE 05 SEPTEMBA, 2024
Na hiki ndiyo kinaenda kutokea kwa walimuUmepata zako 80 halafu NOT SELECTED sawa na aliyepata 22 [emoji2][emoji2][emoji2]
Idadi ya wasailwa inavyoongeza na ndipo idadi ya wasaili inaogezeka pia na wanagawa kwa makundi.ukiangalia tu matokeo yanayotolewa utagundua kuwa bado idadi ya watu ni kubwa kwa wanaotakiwa kuendelea na oral interview? sasa swali langu ni kuwa hiyo oral itafanyika kwa muundo upi?
tuchukulie mfano dar es salaam: clinical officer nafasi 40 lakini oral wanaotakiwa kufanya kwenye kituo hiko wapo 200
je hao watu 200 watamalizwa kwa siku moja kufanya oral, au panel za kuwafanyisha oral zitakuwa nyingi ili watahiniwa wote wamalizwe kwa siku moja, na je kila mtahiniwa wa oral atapewa dakika ngapi za oral interview ili wote wakamilike kwa siku moja?
Ishu ndogo kwa utumishi apo panel zinakuwa ata kumi Afu kila watu na kikundi chao dakika ni kumi na tano kwa maswali yoteukiangalia tu matokeo yanayotolewa utagundua kuwa bado idadi ya watu ni kubwa kwa wanaotakiwa kuendelea na oral interview? sasa swali langu ni kuwa hiyo oral itafanyika kwa muundo upi?