Usaili kada ya Afya 2024: Matokeo ya usaili ya kuandika (written) Tabibu daraja la pili (Clinical officer II) yametoka

Sasa kama ni MD 2 akipata nafasi ya kazi ataacha kusoma kwanza?
Hapo ni kuangalia kipaumbele chake, Ana options kadhaa

1. Anaweza ku-postpone mwaka kisha anafanya kazi ili kupata barua ya kuthibitishwa kazini, kisha anaomba ruhusa ya kwenda kusoma, akinyimwa na boss wake kwa sababu ya roho mbaya anaweza kuomba ruhusa isiyo ya malipo.

2. Anaweza kuomba uhamisho na kuhamishiwa kituo cha kazi jirani na chuo anachosomea na kisha kumwomba mwajiri wake awe anaingia shift za weekend na usiku na kumlegezea majukumu ili amalizie elimu yake.
 
Hv muajiriwa mpya akitaka kujiendeleza anatakiwa akae muda gn ndo aende chuo?
 
Basi apambane apate nafasi then ataamua mwenyewe
 
Hv muajiriwa mpya akitaka kujiendeleza anatakiwa akae muda gn ndo aende chuo?
Confirmation letter kwanza. Ambapo inatakiwa utumikie ajira yako kwa mwaka mmoja. Baada ya hapo ni suala la wewe na mwajiri wako. Mwajiri akiona unachoenda kusomea kitaongeza tija kazini anakuruhusu chap
 
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA MSAIDIZI WA AFYA (HEALTH ASSISTANT) MDAs & LGAs ULIOFANYIKA TAREHE 4 SEPTEMBA, 2024

Hongera kwenu mnaoendelea hatua inayofuata

Moderators naomba mpandishe hizi updated results pale juu, tuepushe kuwa na nyuzi nyingi za matokeo
 
Attachments

Nilishasema nitapambana kwa jasho na damu nitoke katika umasikini, watoto wangu wasiingie katika hizi ajira za gombania goli.
 
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA MTEKNOLOJIA DAWA DARAJA II (TECHNOLOGIST PHARMACY II) NA MTEKNOLOJIA MAABARA II - ( HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST II) MDAs & LGAs ULIOFANYIKA TAREHE 05 SEPTEMBA, 2024
 
Attachments

hivi kwa mfano kwenye kituo chenu mnatakiwa mfanye oral interview mpo 200 au 300, hiyo oral interview kwa idadi hiyo ya watahiniwa itafanyika kwa muundo gani?
wazoefu ebu mtujuze huwa inafanyikaje oral interview yenye idadi hiyo kubwa ya watu
 
Nafikiri lengo kuu la kuwasambaza watu hadi mikoa ambayo hawajaomba ni kupunguza mrundikano wa watu wengi sehemu moja kwa hiyo tunategemea kila mkoa utakua na watu wachache kulingana na idadi ya watu wanaohitajika. Mfano, mkoa unaohitaji watu 9 wa kada ya maabara, wataita oral watu wasiozidi 30
 
ukiangalia tu matokeo yanayotolewa utagundua kuwa bado idadi ya watu ni kubwa kwa wanaotakiwa kuendelea na oral interview? sasa swali langu ni kuwa hiyo oral itafanyika kwa muundo upi?
tuchukulie mfano dar es salaam: clinical officer nafasi 40 lakini oral wanaotakiwa kufanya kwenye kituo hiko wapo 200
je hao watu 200 watamalizwa kwa siku moja kufanya oral, au panel za kuwafanyisha oral zitakuwa nyingi ili watahiniwa wote wamalizwe kwa siku moja, na je kila mtahiniwa wa oral atapewa dakika ngapi za oral interview ili wote wakamilike kwa siku moja?
 
Idadi ya wasailwa inavyoongeza na ndipo idadi ya wasaili inaogezeka pia na wanagawa kwa makundi.

Mfano Dar MD oral wakawa 500 basi watawagawa makundi 15 watapata wasaili 33.

Sasa hawa wasaili 33 watakuwa na pannel yako so kutakuwa na panelist 15 yenye kila watu sita hadi watano hawashindwi kitu wale
 
ukiangalia tu matokeo yanayotolewa utagundua kuwa bado idadi ya watu ni kubwa kwa wanaotakiwa kuendelea na oral interview? sasa swali langu ni kuwa hiyo oral itafanyika kwa muundo upi?
tuchukulie mfano dar es salaam: clinical officer nafasi 40 lakini oral wanaotakiwa kufanya kwenye kituo hiko wapo 200
je hao watu 200 watamalizwa kwa siku moja kufanya oral, au panel za kuwafanyisha oral zitakuwa nyingi ili watahiniwa wote wamalizwe kwa siku moja, na je kila mtahiniwa wa oral atapewa dakika ngapi za oral interview ili wote wakamilike kwa siku moja?
Ishu ndogo kwa utumishi apo panel zinakuwa ata kumi Afu kila watu na kikundi chao dakika ni kumi na tano kwa maswali yote

Good luck champion, jiandae usije ukawa ndoige utumishi ni hatari.
 
Matokeo yanadhihirisha kuwa watu walijipanga, unaweza ukaona paper ngumu ukaja huku kulalamika kuwa mnaonewa kumbe wenzako wamepiga 90+ wanakuchora tu. Walimu jipangeni hatutataka makelele humu tunataka shuhuda za kulamba asali tu.
 
Back
Top Bottom