Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
Hapo ni kuangalia kipaumbele chake, Ana options kadhaaSasa kama ni MD 2 akipata nafasi ya kazi ataacha kusoma kwanza?
1. Anaweza ku-postpone mwaka kisha anafanya kazi ili kupata barua ya kuthibitishwa kazini, kisha anaomba ruhusa ya kwenda kusoma, akinyimwa na boss wake kwa sababu ya roho mbaya anaweza kuomba ruhusa isiyo ya malipo.
2. Anaweza kuomba uhamisho na kuhamishiwa kituo cha kazi jirani na chuo anachosomea na kisha kumwomba mwajiri wake awe anaingia shift za weekend na usiku na kumlegezea majukumu ili amalizie elimu yake.