Usaili nafasi ya msimamizi TEHAMA umenivuruga

Usaili nafasi ya msimamizi TEHAMA umenivuruga

Kama NBS walirudisha jina lako basi waliona unafaa, ndiyo tatizo la kufanyiwa usahili na elimu ndogo na walimu wa mchongo, wao wanapeana nafasi kwa kujuana ila wewe wamekubania tu, hao wahuni.
NBS wamerudisha majina ya waliofanya maombi kwa kutimiza masharti waliyoweka na sio kupitia qualification za kila mtu. Hivyo basi kila Mtz alieomba na akaatach required documents kwenye system lazima jina lako litoke na kuitwa kwenye usaili. Usaili ndio utaamua kama wewe ni best fit au laah. Hapo ndipo utakapokaanza kukaguliwa vyeti nk.

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Mim niliyesoma Maths and IT kwa miaka 3 chuo kikuu nipo kwenye category gani kulingan na hiyo specialization unayosema?
Bro kubali matokeo tu. Wewe bado haujaspecialize kwenye IT , kuna waliosoma saikolojia kwenye kozi zao za ualimu ni wanasilaikolojia.? Mimi jamaa yangu hajaitwa kabisaa kwenye huo usaili
 
Bora ningefeli kwenye maswali asee!!
Mkuu hicho kisa kimenikuta pia kwenye nafasi za ukarani. Kuna uzi nilipost juzi kuwa "Bora kufeli maswali ya kwenye interview kuliko kuzuiwa hata kuingia ndani".
Wamepata sababu ya kupunguza watu mapema
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] asee
 
Bro kubali matokeo tu. Wewe bado haujaspecialize kwenye IT , kuna waliosoma saikolojia kwenye kozi zao za ualimu ni wanasilaikolojia.? Mimi jamaa yangu hajaitwa kabisaa kwenye huo usaili
IT ipo kama major.
Sio a certain course.
 
Wewe ni sawa na Mwalimu wa Biology aombe kuwa Daktari kwa kuwa anaijua Biology!
Wewe Juha Unatoa Mfano Gani Huo?

Pale MUHAS walimu wanaowafundisha wanafunzi wa udaktari hawapractise Medicine?

Wapumbavu tuu hao waliomfanyia usahili, na wewe pia unatetea upumbavu.
 
Dah hio ningeiomba lazma ningeipata tu. IT naijua kama sala ya baba yetu. Sijui wangeuliza swali gani nilishindwe.😂😂😂
 
Bro kusoma physics sio kuwa Civil au Mechanical Engineer heshimu fani za watu.
 
Fanya hivi mkurugenzi, tuandike Jina la degree Yako kama lilivyoandikwa kwenye cheti chako Cha UDSM, tuanzie hapo kwanza.

Hapa naona unaanza kuingizwa Computer Science na Information Technology wakati huko awali umeandika Informatics. Utatuchanganya tushindwe kukushauri.
Umenikoti Mimi badala ya mtoa mada! Soma reply yangu Vizuri...yeye ndiye amesoma Degree ya Informatics.... take care while you are reading
 
Sure! Bachelor Degree in Informatics means you are a teacher by professional and not in Information Technology [Technician]. Ifike mahali tuheshimu Fani za wenzetu.
 
Umenikoti Mimi badala ya mtoa mada! Soma reply yangu Vizuri...yeye ndiye amesoma Degree ya Informatics.... take care while you are reading
B.Science(Ed) IT &MATHS kwa nini sina vigezo boss!

Sijajua kitu gani kilitokea lakini lengo langu ilikua ninukuu hii post. Niwie radhi sana Kwa usumbufu uliojitokeza Mkuu.
 
Back
Top Bottom