Mr Antidote
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 953
- 1,304
Wewe ni Mwalimu wa hesabu na Computer kwa shuleniMim niliyesoma Maths and IT kwa miaka 3 chuo kikuu nipo kwenye category gani kulingan na hiyo specialization unayosema?
NBS wamerudisha majina ya waliofanya maombi kwa kutimiza masharti waliyoweka na sio kupitia qualification za kila mtu. Hivyo basi kila Mtz alieomba na akaatach required documents kwenye system lazima jina lako litoke na kuitwa kwenye usaili. Usaili ndio utaamua kama wewe ni best fit au laah. Hapo ndipo utakapokaanza kukaguliwa vyeti nk.Kama NBS walirudisha jina lako basi waliona unafaa, ndiyo tatizo la kufanyiwa usahili na elimu ndogo na walimu wa mchongo, wao wanapeana nafasi kwa kujuana ila wewe wamekubania tu, hao wahuni.
Bro kubali matokeo tu. Wewe bado haujaspecialize kwenye IT , kuna waliosoma saikolojia kwenye kozi zao za ualimu ni wanasilaikolojia.? Mimi jamaa yangu hajaitwa kabisaa kwenye huo usailiMim niliyesoma Maths and IT kwa miaka 3 chuo kikuu nipo kwenye category gani kulingan na hiyo specialization unayosema?
Watu wagumu kuelewa SanaBro kubali matokeo tu. Wewe bado haujaspecialize kwenye IT , kuna waliosoma saikolojia kwenye kozi zao za ualimu ni wanasilaikolojia.? Mimi jamaa yangu hajaitwa kabisaa kwenye huo usaili
Mkuu hicho kisa kimenikuta pia kwenye nafasi za ukarani. Kuna uzi nilipost juzi kuwa "Bora kufeli maswali ya kwenye interview kuliko kuzuiwa hata kuingia ndani".Bora ningefeli kwenye maswali asee!!
IT ipo kama major.Bro kubali matokeo tu. Wewe bado haujaspecialize kwenye IT , kuna waliosoma saikolojia kwenye kozi zao za ualimu ni wanasilaikolojia.? Mimi jamaa yangu hajaitwa kabisaa kwenye huo usaili
Wewe Juha Unatoa Mfano Gani Huo?Wewe ni sawa na Mwalimu wa Biology aombe kuwa Daktari kwa kuwa anaijua Biology!
Mfano gani huo unaotoa wewe?Bro kubali matokeo tu. Wewe bado haujaspecialize kwenye IT , kuna waliosoma saikolojia kwenye kozi zao za ualimu ni wanasilaikolojia.? Mimi jamaa yangu hajaitwa kabisaa kwenye huo usaili
Umenikoti Mimi badala ya mtoa mada! Soma reply yangu Vizuri...yeye ndiye amesoma Degree ya Informatics.... take care while you are readingFanya hivi mkurugenzi, tuandike Jina la degree Yako kama lilivyoandikwa kwenye cheti chako Cha UDSM, tuanzie hapo kwanza.
Hapa naona unaanza kuingizwa Computer Science na Information Technology wakati huko awali umeandika Informatics. Utatuchanganya tushindwe kukushauri.
Umenikoti Mimi badala ya mtoa mada! Soma reply yangu Vizuri...yeye ndiye amesoma Degree ya Informatics.... take care while you are reading
B.Science(Ed) IT &MATHS kwa nini sina vigezo boss!