Usaili wa Utumishi: Kipi kilikufanya ufaulu au ulikosea wapi?

Niligoma kujibu maswali mawili ya oral out of five questions.. Niligoma katakataa walinishawishi sana nijibu nikawaambia siwezi kujibu nisichokijua nitakuwa nimeongopa tu kwann niwadanganye Sasa.
Ungewaambia wakuulize màswali rahisi.
 
Niligoma kujibu maswali mawili ya oral out of five questions.. Niligoma katakataa walinishawishi sana nijibu nikawaambia siwezi kujibu nisichokijua nitakuwa nimeongopa tu kwann niwadanganye Sasa.
Chai
 
[emoji1787]sio lazima uniamini.

me nilikuwa napiga nao story easy tu waliokuwa wananisaili. Na vicheko vilikuwepo pia. Walikuwa Sita kati Yao wanne walipashiriki hii dialogue ya kunishawishi niwajibu , jibu langu lilikuwa lile sijui na siwezi kudanganya. Nilijibu matatu niliyoyajua ipasavyo.
 
Umetisha
 
Matokeo yalikujaje?
Niko KAZINI ndugu yangu kwa usaili ule.

Hakikisha unawafanya wakukumbuke, kivyovyote. Hakikisha waliokutangulia unawapita na wanaokufatia unawapita, usijibakishe ukatoka na wasiwasi wa labda ningefanya hivi ama ningefanya vile, wanaotusaili ni BINADAMU. sema tu ndio anakuwa amekushikia tonge muda ule .

Interview ngumu labda ni written na practical maana muda wa mazungumzo haupo ila oral ni ahueni.
 
Mungu fundi[emoji119][emoji119][emoji119],hakika akisema YES hakuna binadam anaeza pindua.
Hongera sana boss.
 
Niligoma kujibu maswali mawili ya oral out of five questions.. Niligoma katakataa walinishawishi sana nijibu nikawaambia siwezi kujibu nisichokijua nitakuwa nimeongopa tu kwann niwadanganye Sasa.
Wewe jasiri Sana.... confidence zimekujaa mpaka zinamwagika.
 
Hongera sana chief....Mungu Ni mwema.
 
Hapa umenena vyema.
 
Tutauchangamsha na huu uzi.
 
Hata wewe boss Mwifwa ulishalamba asali....njoo utoe nasaha hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…