Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 666
- 1,255
- Thread starter
- #41
Zilikuwa Dodoma na Dar es salaamVipi mkuu mlifanya kwa kanda kama Waziri alivyotoa ahadi hyo?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zilikuwa Dodoma na Dar es salaamVipi mkuu mlifanya kwa kanda kama Waziri alivyotoa ahadi hyo?.
Inabidi kufanya hivyo maana hamna namna.Hizi written zinanirudisha kwenye madesa ngoja niendelee kukomaa.
Ndio hivyo mkuuInabidi kufanya hivyo maana hamna namna.
Wanatakiwa kusema hivyo ili waombaji wawe wanajua.Wanalenga zaidi waliotoka vyuoni hivi karibuni.
PoapoaNdio hivyo mkuu
Kila la kheri mkuuNi matumaini yangu wote wazima. Mimi ni kijana wa kiume nimesoma diploma ya procurement and logistic management na bachelor degree ya business management, natafuta ajira nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote
Hiyo ishapita ndugu, huwezi kupata nafasi, subiria tu zingine zikitangazwa [emoji120]Habari ndugu zangu, nimekosa written interview ya mchujo niliomba driver II Tra ambayo ilikua ni 17 /12/2022 kiukweli sikua na smart so sikupata clue yeyote kama majina yametoka, hivi kweli ntapata second chance maana still kuna vitendo 31 December na mahojiano 13 January au ishakula kwangu
Dooh sawa mkuuHiyo ishapita ndugu, huwezi kupata nafasi, subiria tu zingine zikitangazwa [emoji120]
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Jitahidi usipoteze smart ukiomba nafasi tena, hapa umepitwa na gari la mshahara kimasiharaDooh sawa mkuu
Mkuu kama hutajali naomba unipe possible ya maswali ya interview ya ICT Officer unayoyakumbuka, nime apply hiyo nafasi eGoverment Authority.Poapoa
Kasome multiple choice za hiyo kada uliyoombaMkuu kama hutajali naomba unipe possible ya maswali ya interview ya ICT Officer unayoyakumbuka, nime apply hiyo nafasi eGoverment Authority.
Natanguliza shukran!
Kwahio unadhani vijana ambao hawajapata nafasi ya kufanya kazi Ni sahihi kuulizwa maswali yanayohitaji mtu mwenye uzoefu wa kazi?