Usaili wa utumishi (kwenye interview ya mchujo) unawalenga wanafunzi na wahitimu wapya

Usaili wa utumishi (kwenye interview ya mchujo) unawalenga wanafunzi na wahitimu wapya

Ni matumaini yangu wote wazima. Mimi ni kijana wa kiume nimesoma diploma ya procurement and logistic management na bachelor degree ya business management, natafuta ajira nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote
 
Kila la kheri mkuu
 
Habari ndugu zangu, nimekosa written interview ya mchujo niliomba driver II Tra ambayo ilikua ni 17 /12/2022 kiukweli sikua na smart so sikupata clue yeyote kama majina yametoka, hivi kweli ntapata second chance maana still kuna vitendo 31 December na mahojiano 13 January au ishakula kwangu
 
Hiyo ishapita ndugu, huwezi kupata nafasi, subiria tu zingine zikitangazwa [emoji120]

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kama hutajali naomba unipe possible ya maswali ya interview ya ICT Officer unayoyakumbuka, nime apply hiyo nafasi eGoverment Authority.

Natanguliza shukran!
Kasome multiple choice za hiyo kada uliyoomba
 
Mtanzania hajawahi kosa Lawama Kwa Kila kitu,Mtanzania ni mtu ambaye haridhiki Kwa lolote lile hata umfanyie Jema lipi.
Kikubwa Tupambane tu wadau,Hata wao wenyewe huwa wanasema tuelewe Taaluma zetu Tusikariri.
MENGINE YOTE WEWE UNAPANGA ILA MUNGU ANAPANGA,KIKUBWA KUPAMBANA NA KUTOKATA TAMAA,KAMA WAKATI WAKO UMEFIKA UTAPATA KAZI.MUNGU AWASAIDIE WAPAMBANAJI WOTE.
PSRS WANANFANYA KAZI NZURI SANA,NA NADHANI YAJAYO KWAO YATAFURAHISHA ZAIDI.TANZANIA HII YA SASA UNAWEZA KUMKUTA MTOTO WA YEYOTE TAASISI YOYOTE, WATOTO WA WAKULIMA UNAWAKUTA TRA,EGA,NAOT NA KWINGINEKO HILI LIMEWEZEKANA KUPITIA PSRS......
Tujivunie kuwa na taasisi kama hii hakika....
 
Hii inamantiki sana mtu amemaliza miaka 8 iliyopita unamuuliza maswali ya darasani hivi sasa unataka yale madesa awe nayo siki zote ama.
 
Back
Top Bottom